Recent content by lizy lizy

  1. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Una fani gani nyingine tofauti na ualim?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Milioni 4.5 ninunue bodaboda mbili au nifanye finishing ya nyumba yangu

    principle 1: tumia asset kuzalisha liability
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia Noah (Dar au Pwani)

    shukrani ndugu kwa mawazo, ila naomba unisaidie kwa kile nilichouliza hayo mengine niachie mimi
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenye mkataba wa biashara ya Bodaboda

    naombeni na mm huo mkataba asee nauhitaji sana
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia Noah (Dar au Pwani)

    Noted mkuu ntapatembelea
  6. L

    JamiiForums Tanzania Fahamu kidogo kuhusu magari ya mizigo nchini Tanzania

    ungeweka mchanganuo wa magari ya abiria ungekua umetusaidia sana na sisi tunaopenda magari hayo
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia Noah (Dar au Pwani)

    Wasalaam ndugu zangu. Kijana mwenzenu nimejichanga nina kiasi kama cha mil. 16, nimefikiria nimeona ninunue Noah ili nifanye biashara ya kubeba abiria walau nami nijiajiri maana nimechoka purukushani za kuajiriwa. Hivyo basi nilikua naomba mwongozo kuhusu maeneo ambayo biashara hii inafanya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    naombeni connection ya mtu anayeuza asali ambaye yupo tabora au mkoa wowote unaozalisha asali nahitaji asali ya jumla 0624 030723
  9. L

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu bei ya maharage

    Nasubiri wajuba waje nami nijue
  10. L

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Yas mkuu ili awe mwenyeji wangu nikienda kuchukua mchele 0654 351 444
  11. L

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Naombeni connection ya mtu ambaye yupo mbeya atakayenisaidia nitakapoenda kuchukua mchele kwa mara ya kwanza.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ya duka,shamba,biashara n.k

    unaweza kuuza chipsi, kuku ?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    yeyote mwenye kufahamu kuhusu biashara ya uzalishaji mkaa endelevu anijuze, gharama za uzalishaji, soko pamoja na jinsi ya kupata mashine zake.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wateja wapo wengi, Ongeza thamani ya kitu unachotaka kukiuza kabla hujakitangaza kukiuza

    mkuu nawezaje kuongeza thamani kwenye biashara ya tigo pesa??
Back
Top Bottom