Recent content by Lizen Matari

  1. Lizen Matari

    TAASISI ZITOAZO MIKOPO YA MIKATABA YA UJENZI

    Habari zenu JF? Nimesikia kuna taasisi zinazotoa mikopo ya mikataba ya ujenzi( wanakujengea nyumba/frem kwa ajili ya biashara) kisha baada yakukamilika ujenzi, wanajilipa tozo yao kupitia hiyo biashara itakayokuwa inajiendesha katika huo mradi wao wa ujenzi. Shida yangu; ninaomba kwa yeyote...
  2. Lizen Matari

    Naombeni msaada wenu juu ya mkasa huu ulionikuta mtanzanua mwenzenu

    Msaada kama kunauwezekano wakufungua kesi ya madai
  3. Lizen Matari

    Naombeni msaada wenu juu ya mkasa huu ulionikuta mtanzanua mwenzenu

    Walitaka niendelee na kazi wakat nilipokuwa nje kwa dhamana. Lakin sikuwa tayar
  4. Lizen Matari

    Naombeni msaada wenu juu ya mkasa huu ulionikuta mtanzanua mwenzenu

    Kwa sasa iyo kesi imefutwa na baraza la mahakama. ni baada yakushindwa kuhudhuria tarehe za mahudhurio
  5. Lizen Matari

    Naombeni msaada wenu juu ya mkasa huu ulionikuta mtanzanua mwenzenu

    Asante kiongoz, Walidai nawekwa ndan kwa uchunguzi zaid. Lakin nafikir walitaka niwalipe mkuu
  6. Lizen Matari

    Naombeni msaada wenu juu ya mkasa huu ulionikuta mtanzanua mwenzenu

    ni kisa kirefu mno nikianza kuandika nahisi ntamaliza kesho. so iyo ni short stor mkuu
  7. Lizen Matari

    Naombeni msaada wenu juu ya mkasa huu ulionikuta mtanzanua mwenzenu

    Asante from now, kazi nimekwisha iacha tangu mkasa ulipoanza.
  8. Lizen Matari

    Naombeni msaada wenu juu ya mkasa huu ulionikuta mtanzanua mwenzenu

    https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/28345056 Habari zenu wakuu!!! mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Kuna kampuni ya printers nilikua nafanya kazi nikiwa kama msaidizi wa kiongozi mkuu. Hapo ofisini pakatokea wizi wa kuibiwa pesa usik......
  9. Lizen Matari

    Naombeni msaada wenu juu ya mkasa huu ulionikuta mtanzanua mwenzenu

    Habari zenu wakuu!!! mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Kuna kampuni ya printers nilikua nafanya kazi nikiwa kama msaidizi wa kiongozi mkuu. Hapo ofisini pakatokea wizi wa kuibiwa pesa usiku wa saa10. Basi hiyo kesi ikanidondokea mimi. Nikawekwa lock up na baadae mahakamani, nilipokua...
  10. Lizen Matari

    Natafuta fundi welding

    Ulifanikiwa kupata fundi mkuu?
Back
Top Bottom