Naombeni msaada wenu juu ya mkasa huu ulionikuta mtanzanua mwenzenu

Lizen Matari

Member
Sep 7, 2018
15
45
Habari zenu wakuu!!! mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25.
Kuna kampuni ya printers nilikua nafanya kazi nikiwa kama msaidizi wa kiongozi mkuu. Hapo ofisini pakatokea wizi wa kuibiwa pesa usiku wa saa10.
Basi hiyo kesi ikanidondokea mimi. Nikawekwa lock up na baadae mahakamani, nilipokua naenda mahakamani walionishitaki hawakuwa wakija hapo mahakamani.
siku tatu zote hawakutokea basi hakimu akanambia case imekufa kuanzia siku hiyo nipo huru.

Hii case imechukua miezi miwili na nusu hadi kuisha kwake.

Kwenu wana JF nilikua naombeni msaada wenu juu ya swala la madai kwa upande wangu linaweza kuleta tija maana wamenidhalilisha sana kwa kitendo cha kuwekwa lock up nikiwa na mtoto mchanga wa miezi miwili ninae mlea mm kama baba ake.
Je naweza kufungua madai? na kama nikifungua madai haitoweza kuni cost kwa jambo lolote?

Kwenu wana JF, naombeni msaada wenu plz.
 
ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,178
2,000
kama sijasahau humu kuna jukwaa la sheria.
Mimi si mjuzi wa hayo mambo ya sheria ila najua unaweza ndio kufungua kesi ya udhalilishwaji, ila sasa kumbuka kuwa unafanya kazi ni kwenye kampuni hivyo kwa namna yoyoye italeta kutokuelewana na waliokushtaki mwanzo, na hata sheria ikionesha kukulinda bado utapata tabu sana labda uache hiyo kazi
 
charldzosias

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
1,464
2,000
Habari zenu wakuu!!! mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25.
Kuna kampuni ya printers nilikua nafanya kazi nikiwa kama msaidizi wa kiongozi mkuu. Hapo ofisini pakatokea wizi wa kuibiwa pesa usiku wa saa10.
Basi hiyo kesi ikanidondokea mimi. Nikawekwa lock up na baadae mahakamani, nilipokua naenda mahakamani walionishitaki hawakuwa wakija hapo mahakamani.
siku tatu zote hawakutokea basi hakimu akanambia case imekufa kuanzia siku hiyo nipo huru.

Hii case imechukua miezi miwili na nusu hadi kuisha kwake.

Kwenu wana JF nilikua naombeni msaada wenu juu ya swala la madai kwa upande wangu linaweza kuleta tija maana wamenidhalilisha sana kwa kitendo cha kuwekwa lock up nikiwa na mtoto mchanga wa miezi miwili ninae mlea mm kama baba ake.
Je naweza kufungua madai? na kama nikifungua madai haitoweza kuni cost kwa jambo lolote?

Kwenu wana JF, naombeni msaada wenu plz.
WATANZANUA toeni msaada
 
Top Bottom