Recent content by Lizaboni

  1. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

    Nimepita kijiwe fulani nimekutana na Zitto Kabwe anacheeka sana
  2. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

    Watafanya kampeni kumnadi nani?
  3. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

    Siasa inahitaji akili sana kuicheza. Akili za Lissu zisingefaa kwa nafasi ya uenyekiti wa chadema
  4. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

    Nilivyoona tu Wasira ni Makamu Mwenyekiti wa CCM babsi nikawa na uhakika kuwa Uhai wa CHADEMA upo ukingoni
  5. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

    Mie nafurahi tu CHADEMA kufa
  6. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

    Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola. Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:= 1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi...
  7. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    CHADEMA imepoteza mvuto siku hizi. Yaani hata page 100 hazijafika!😂😂😂
  8. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amekuja kuizika kabisa CHADEMA

    Nchi imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Wananchi bado wana imani na CCM na mama ndiye kaja kuizika kabisa CHADEMA
  9. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

    Siku zake bado hazijafika.
  10. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amekuja kuizika kabisa CHADEMA

    Wadau, amani iwe kwenu. Katika historia ya upinzani nchini, mwaka 2015 ulikuwa ni uchaguzi ambao ulitushughulisha sana wana CCM. Hata hapa kwenye jukwaa mijadala ilikuwa ni mikali na mnyukano kati ya CCM na CHADEMA ulikuwa wa wazi. Nakumbuka wakati huo ukianzisha mjadala wa kumshambukia...
  11. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

    Kaka Daudi Mchambuzi salama? Za siku tele
  12. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa watu? Faiza Fox, Kichwa Kichafu na Wa Stend

    Nipo ndugu yangu. Lete maneno
  13. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa watu? Faiza Fox, Kichwa Kichafu na Wa Stend

    Salama humu ndani? Tupo tuna majukumu mengine sasa. Hapa kazi yetu ilishamalizika. CCM ipo katika mikono salama. Hakuna upinzani tena
  14. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania Wakumbukwe Mashujaa wetu wa JF waliopumzika au kubanwa na Serikali

    Kuna mwenzetu alikuwa anaitwa Motochini hivi bado yumo humu?
  15. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania Wakumbukwe Mashujaa wetu wa JF waliopumzika au kubanwa na Serikali

    Wengine hawajapotea bali wamesilimu au kubatizwa na kuamua kubadili majina. Jua wapo tu
Back
Top Bottom