Force Account ni mfumo ujenzi wa majengo ya umma kutumia wataalamu wao,mitambo yao au kuajiri local fundi.Sheria yetu ya Ununuzi wa ya mwaka 2011 na marekebisho yake ya mwaka 2016, imeturuhusu kufanya Ujenzi kwa kutumia njii hii, rejea Kifungu namba 167 cha Kanunuzi za Ununuzi za mwaka 2013 na...
Inategemeana Mkataba mumeufunga vipi, kwa mfano kama mulikubaliana baada ya kumaliza kazi Nyumba litakuwa chini ya uangalizi wake kwa muda wa miezi 6 na Ubovu wowote utakaotokea utakuwa juu ya Fundi yaani arekebishe, na Fundi atawajika ndani ya kipindi hiko tu baada ya kipindi hiko cha miezi 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.