Naweza kusema kwamba Mh. Jakaya bwana enzi zake watu walikuwa huru sana, Huyu mzee bwana licha ya mapungufu yake, kuna vitu alifanya watu nadhani mpaka kesho watamkumbuka na kumuheshimu.
Picha linaanza ile show ya kina sugu inafanyika usiku na wanatukana matusi ya nguoni kuitukana clouds na...
Tunafanya Renovation ya Guest ipo Pugu Majohe, so tunatoa vitanda vya zamani tunaweka kitanda vipya na kupaka rangi so vile vya zamanibtunauza bei ya kutupa kabisa
1. Kitanda 150,000 Godoro 120,000
2. Ukichukua kitanda na Godoro utalipia 140, 000 pia magodoro yamebakia mawili tu njoo uone...
Bado bingwa mmoja yupo nadhani ujerumani na anazurura zurura nchi za scandnavia na kama sio mchaga atakuwa ni mtu wa manyara au Arusha. Mjuaaji huyo amechukua nafasi ya mange huko mjini insta. Mfuatilieni
Wakuu salama.
Tafakari kizazi Adam na Hawa kabla ya dhambi, Ebu assume walivyokula bata.
Tazama kizazi kipindi cha Yesu Kristo (Mungu katika mwili) na mtume Mohamad (mwenye kheri na utukufu) angalia watu walivyoshuhudia miujiza na matendo makuu ya Mungu.
Tazama kizazi kitakachoona mwisho wa...
Sijawahi kikutana na huyu Dada, ila nakumbuka tokea enzi za fastjet, mpaka ki grocery kwenye frame moja pale tabata, mpaka baa kubwa, Tabata, sinza na mbagala,
Mara kuna ile microfinance, mara ile biashara ya Real estate na kadhalika.
Sijui ila kimpangia mtu maisha sio vyema nadhani huyu Dada...
Wakuu salama.
Mimi ni mkristo mzuri tu na imani yangu ipo kwa Mungu dhidi ya hizi dhana nyingine katika uumbaji wa Ulimwengu.
Tunajua kwamba Biblia ndio msingi wa imani ya kikristo na pia ndio kitabu inasemekana kimeficha kwa mafumbo mambo mengi sana. Na pia sisi wakristo tunashauriwa...
Nipo siriaz na nitajaza Dodoma mara kumi zaidi ya leo. Wadau na ambao mpo siriaz mnifuate PM
NB: Hii idea kama IP ipo copyrited.
Nawasilisha nikiwa na moet 3 pembeni hapa ya mfanyakazi wa zamani wa zile ndege za Dar to mbeya kwa elfu 60,000/=.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.