Recent content by LIVING EGGS COMPANY LTD

  1. LIVING EGGS COMPANY LTD

    JamiiForums Tanzania Salary Advance: Janga linalowatafuna Watumishi wa Umma

    Upo sahihi kabisa . Inafikia mahala unajiuliza huyu mtu anawakebei wa hali ya chini inamaana yeye ni kama mbingu hatoshuka?? Yaani unapata take home 900,000 wakat kunamtu anapokea 300,000 anaomba Mungu aongezewe elf50 ili hali iwe ahuweni. Hakuna anaependa kukopa bali yakikukuta utajikuta...
  2. LIVING EGGS COMPANY LTD

    JamiiForums Tanzania Tunauza mayai ya kisasa na kienyeji

    tray ngapi wahitaji kiongozi?
  3. LIVING EGGS COMPANY LTD

    JamiiForums Tanzania Tunauza mayai ya kisasa na kienyeji

    Karibu kampuni ya LIVING EGGS COMPANY LIMITED Tukuhudumie . Tupo MOROGORO, => •KIHONDA _ MTAA MANYUKI na Mazimbu Road, => •GAIRO _ MTAA MAGOWEKO na Sheli ya Shabiby. TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO • Kuuza mayai ya kuku wa Kisasa & Kienyeji. Jumla na rejareja . •...
  4. LIVING EGGS COMPANY LTD

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanunuzi wa mayai

    Nina office hapo Gairo karibu na Kibaigwa nauza kwa 8,500/= ukihitaji nitafute tufanye biashara
  5. LIVING EGGS COMPANY LTD

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanunuzi wa mayai

    Bei kubw Bei kubwa sana kwasasa bei imesimama 5,500/= ila kwangu nauza 6,800/= Moro
  6. LIVING EGGS COMPANY LTD

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kisasa 5500 kwa trei moja

    Naomba nicheck tuyajenge nahitaji zaidi ya 200 trays kila week ......ila bei chini ya 5,500 tupige kazi maana anaeniuzia mayai hana yakutosha ...nipo Morogoro
  7. LIVING EGGS COMPANY LTD

    JamiiForums Tanzania Sababu za tatizo la kutokwa na damu puani (Mhina), jinsi ya kuzuia na tiba yake

    xng hua, Duuuh ,wewe kama mimi tu tunafanana tangu nikiwa mdogo huwa zinatoka lkn ni kwauchache sana around 20th to 25th years ilikata ikaanza tena mwaka 2016 ikakata baada ya kufanya mazoez sana ,2years a go sijaona damu tena but this 3 consecutive days nateseka hasa jioni na usiku nikiwa...
  8. LIVING EGGS COMPANY LTD

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya jumla

    Acha kuzingua unataka kufanyabiashara au utapeli? Kama biashara na unaona itakulipa basi nahitaji tray 200 hadi mia 300 kwa elfu 6000/= hadi 7000/= kulingana na location zingatia hilo . Sometimes sio wajinga wanao peruzi mtandaoni kucheck fulsa . Bei ya 8,800/= unayosema ni bei ya muuzaji yule...
  9. LIVING EGGS COMPANY LTD

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kuku wa kisasa yanapatikana kwa wingi kwa bei muafaka Dar es Salaam

    Ebwana mi nicheck kama itakulipa tray 100 kwa @ 6000/= nicheck 0718950950 LUDA
  10. LIVING EGGS COMPANY LTD

    JamiiForums Tanzania Vacancy: Freelancer sales

    Yuko sahihi mshkaji ,freelancer hana mshahara analipwa kwa commission tu na ameifafanua sema ndo vile sometimes lugha gongana!!!
Back
Top Bottom