Natafuta wanunuzi wa mayai

Natafuta wanunuzi wa mayai

Hayo huwezi kuuza kama ya kienyeji,kwakuwa rangi ya gamba la juu ni sawa na ya kisasa,kumwambia mteja anunue kwa 500 kwakuwa tu kiini ni cha njano,mteja hataamini,
kwa ushauri tu fanya bei ya jumla 8500 uingize hela faster faster,
kama itakulipa lakini,
bei ya mwisho wa madukani uzia 10500 kama kweli yana ukubwa wa kuridhisha
Akifanya kwa bei hii uliyomshauri wateja wapo wengi tu na ninaweza kufanya naye biashara ila kwa bei hiyo ni kubwa sana
 
sijui nasema vibaya lakini huu ni ushauri wangu!
dodoma kwa sasa mayai yamepungua sana "tunapata tabu sana" tray limefika shillingi 10,000/- hivyo kama ukiweza kuyaleta kwa bei ya jumla mpaka yanafika ikawa 9000/- unaweza kuwa na wateja wazuri. piga hesabu zako kama inalipa jipange kuuza kipindi hiki cha baridi kuna soko zuri kwa kuwa utagaji umeshuka.
Mkuu ufugaji wangu ni wa kisasa na nimefuga kwa kuzingatia kila kitu, kwa hiyo nimejarbu kupiga hesabu nikiuza kwa hiyo bei ndio ntarudisha pesa yangu.
 
Hayo huwezi kuuza kama ya kienyeji,kwakuwa rangi ya gamba la juu ni sawa na ya kisasa,kumwambia mteja anunue kwa 500 kwakuwa tu kiini ni cha njano,mteja hataamini,
kwa ushauri tu fanya bei ya jumla 8500 uingize hela faster faster,
kama itakulipa lakini,
bei ya mwisho wa madukani uzia 10500 kama kweli yana ukubwa wa kuridhisha
Ok fine!
 
Kwa sasa usiangalie faida,weka bei itakayokava baadhi ya garama ili mzigo utoke kwa haraka na pia uweze kukamata soko;lasivyo mzigo utakuaribikia na hutoona faida ya huo mradi.
 
Ok mkuu.
 
Mmmmh!!!
Huku kwetu elfu 9 ni bei ya tray moja la mayai ya kienyeji.
Hiyo bei imechangamka sana mkuu, nafikiri ungefikiria kwanza kutengeneza base nzuri ya wateja ndio upandishe bei.

Anyway, kilalakheri mkuu.
 
Ahasante sana.
 
Mkuu ufugaji wangu ni wa kisasa na nimefuga kwa kuzingatia kila kitu, kwa hiyo nimejarbu kupiga hesabu nikiuza kwa hiyo bei ndio ntarudisha pesa yangu.
hongera sana MWENYEZI MUNGU akakupe kibali na upendeleo uweze kuuza kumb 28:5-6
 
Dah basi mayai yameshuka sana kipindi hiki. Kuna jamaa akimletea bosi anamuuzia kwa 8000 ila jana tumeyafuata Tandika bei ni 6500
 
Bei kubw
Natafuta soko la mayai, ninauwezo wa kuzalisha try 450 za mayai kwa siku, mayai ni wa kuku wa kisasa lakini walio boreshwa wanataga mayai yenye kiini cha njano, ko hayana utofauti na mayai ya kienyeji. Size ya mayai ni makubwa, masafi na yanalingana yote kwa size. Trey moja ni 11,000 Tsh, nipo kigamboni Temeke. Mwenye uhitaji nitafute kwa namba 0755916087.
Ukihitaji unaletewa hadi nyumbani au kwenye biashara yako.

KARIBU TUFANYE BIASHARA.
Bei kubwa sana kwasasa bei imesimama 5,500/= ila kwangu nauza 6,800/= Moro
 
sijui nasema vibaya lakini huu ni ushauri wangu!
dodoma kwa sasa mayai yamepungua sana "tunapata tabu sana" tray limefika shillingi 10,000/- hivyo kama ukiweza kuyaleta kwa bei ya jumla mpaka yanafika ikawa 9000/- unaweza kuwa na wateja wazuri. piga hesabu zako kama inalipa jipange kuuza kipindi hiki cha baridi kuna soko zuri kwa kuwa utagaji umeshuka.
Nina office hapo Gairo karibu na Kibaigwa nauza kwa 8,500/= ukihitaji nitafute tufanye biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom