Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,826
- 9,031
Nahitaji mayai
Bado unauza?
invest what you are willing to lose
Bado unauza?
invest what you are willing to lose
Hiyo hela ungepata tray mbilihuku yai moja mia nne tray 12500
Angalia pm yakoKama upo Kigamboni mayai ninayo kwa bei 7,500/- kwa tray 10 kuendelea. Karibuni( samahani kwa kuteka thread mfugaji mwenzangu)
Kama upo Kigamboni mayai ninayo kwa bei 7,500/- kwa tray 10 kuendelea. Karibuni( samahani kwa kuteka thread mfugaji mwenzangu)
Naomba nicheck tuyajenge nahitaji zaidi ya 200 trays kila week ......ila bei chini ya 5,500 tupige kazi maana anaeniuzia mayai hana yakutosha ...nipo MorogoroMayai ya kisasa kwa bei ya 5500 karibuni sana.
Mawasiliano ni no.0767589656View attachment 421582