Habari Wana jamvi, tunashukuru Mungu kwa kuamka salama na kwa wale wenye changamoto mbalimbali tunawaombea kwa Mungu awape wepesi kuvuka kipind hiko kigumu,
Back to my topic.
Kuna nafasi 8000 zimetoka kwa ajir ya masomo ya ufundi kama hujaziona waweza tembelea www.kazi.go.tz
Nina mdogo Wangu...
Habari Wanajukwaa, wale wa Kariakoo poleni tunawaombea Mungu awe pamoja nanyi.
Back to my topic, mimi ni mmoja wa waajiriwa wapya, namshukuru Mungu Sana, ninaomba ushauri.
Mdogo wangu kamaliza clinical officer mwaka huu mwezi wa 8, wakati anasoma mwishoni tuliweka bond kiwanja ili aruhusiwe...
Pole ndoto ya kula chakula ni sadaka au ibada kwa miunge ambayo sio kristo yesu, kwa hyo umeingia kwenye agano nao (usiogope dawa ipo)
Ndoto ya kufanya mtihani level ya chini maana yake unaludishwa nyuma kimaendeleo ( jambo dogo Sana hili)
La kufanya OKOKA, YAN JIKABIDHI MAISHA YAKO KWA YESU...
Ni kweli wa tz wengi Sana ni masikini Ila wa tz hao masikini u maskin huo wanajitakia wenyewe au familiar zao zinawasababishia ,
We jifikilie mtu una watoto 6 au 7, ulizaaje zaaje , au wewe bint unapewa mimba hujui unaleaje leaje , wewe huo umaskin umeutafuta wenyewe, Baba ana zaa watoto...
Habarini Wana jamvi,
Polen kwa wale wagonjwa naandika Uzi huu naelewa nn maana ya ugonjwa nipo apa muhimbili (moi) nauguza Ila nimeamini ukiwa mzima wa afya basi usiache kumshukuru Mungu, nazidi kuwapa pole wale wenye shida na matatizo mbali mbali naamin Mungu atawasaidia,
Back to my topic...
We akili huna kbsa au zipo m*takoni,.
Uyo mkeo ulimchagua wewe na alikua mlokole kilichokuvutia ni mat*ko na sio akili ,
Kuna walokole Wana akili smart huyo mkeo ni matatizo yake tu,
Ten % ni muhim lakin 90 % muulize inaenda wap ,.
Akili zako ziwe zinakaa sawa sometimes
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.