Unajua katika mifumo mbalimbali ya maisha binadamu tunayoishi inaweza kulingana au kutofautiana kulingana na vile mtu apendavyo kuishi. Suala la huyu jamaa kununua hiyo Samsung Galaxy Note (1,2,3) kwa mtazamo wangu siwezi kumshangaa hasa ukiangali kila mtu ana vipaumbele vyake katika maisha ya...
Ni kweli mkuu mm mwenyewe leseni yangu nimeipata na hata gari sijui linawashwaje. Kwa nçhi kweli hi I no danganya toto. Name hata likifanikiwa hili basi watoto wa wapiga kura na watoto wa wakulima ndio tutawajibishwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.