Recent content by lissa cooper

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tiffah's 40: Sherehe ya mtoto wa Diamond Platnumz kutimiza siku 40 tangu azaliwe

    mtoto mzuri na anaonekana mwenye afya. hongera zao Nasibu na Zari.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kajala: Natamani kumlipa Wema Sepetu mil 13 zake

    mm si team wema......lkn wema ana mabaya mengi tu lkn kwa hli la kajala alimtendea kitu kikubwa sana......kajala hata ukiamua umlimpe bilioni kadhaa wema ss hv haisaidii kipindi kile ulipokuwa jela ndio ilionekana thamani yake.......shukrani ya punda mateke akamchukulia buz lake ......kajala...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    vinawashwa eeh.....ila kama ni mwanamke hasa wakati wa hedhi
  4. L

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    daah tusio na dstv tunakosa mengi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Billionea ampangishia Lulu jumba la kifahari

    Tatizo lao kubwa ni kushow off na mashindano ...kama hvyo amshinde wema na kajala hyo akili matope......wakati angenunua nyumba ya kawaida tu.....t
  6. L

    JamiiForums Tanzania Diamond awajibu Team Wema

    kuhakikisha amekula....amevaaa na kula vizuri haitoshi kwa mpenzi wako unayempenda.....lazima kuhakikisha yupo njia sahihi kila kona.......hao wanatuonyesha mapenzi ya kisanii tu.....(kuigiza)....na huo nahic ndio mwisho wa part 2
  7. L

    JamiiForums Tanzania Diamond laana hiyo!

    hv mnajua ni kwa kiasi gani mama diamond alipata shida na diamond kuanzia mimba, kulea hadi amefika hapo halipo....diamond hana kosa na laana haitompata,wanaume mjifunze kupitia kwa mwanaume mwenzenu hii inadhihirisha kuwa hakuna anayejua kesho itakuwaje.........kuhusu zawadi aliyoitoa kwa mama...
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani mbona nafanyiwa hivi

    tatizo anakushurutisha, msaidie kwa mapenzi yako.....pia wanaume muwe mnasaidia wake zenu vikazi vidogovidogo vinachochea kuimarika kwa penzi
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa kina dada mnaotafuta wapenzi humu

    mume au mke unakutana nae popote.......cha msingi ni kumshirikisha mungu........hata wa kukutana naye face to face anaweza asiwe mke wala mume vile vile
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walikuwa zamani

    mwanamke sifa yake kujiremba.....wanae wa ss tunashindana kwa vipodozi na wengine kujichubua..hereni masikioni kweli huyo anastahili kuitwa baba wa familia kweli
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki wa Kike

    mungu mwema utampata tu
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kumsahau mpenzi wako wa kwanza

    dah! ahsante kwa ushauri
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume mwema!

    mh! miaka ya kuelewa perfect ni ipi naomba unifahamishe
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume mwema!

    nashukuru kwa kunisaidia demba,
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume mwema!

    ha haaaaaa
Back
Top Bottom