Recent content by Liso

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Anga Swaziland yapiga marufuku wachawi kuruka juu zaidi ya Mita 150

    Maajabu ya dunia eti mamlaka ya anga wanaipa wakati mgumu wanapokuwa juu zaidi usawa wa Helcopter!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Ni 5% ya jumla ya kura walizopigiwa wabunge Nchi nzima yaani jumla ya kura zote kwa majimbo kwa kila chama.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    Ni mwanzo mzuri lakini hii speed inapaswa alivyoanza nayo ndio amalize nayo na hapo ndipo Tanzania itapata mabadiliko tunayoyahitaji.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA hawajafanya jambo la busara

    Hata Dodoma bungeni wasiende vikao vyote sababu vitakuwa chini ya PM Atakayekuwa kateuliwa na Rais ambaye hawakubaliani nae.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bei ya Mkonge

    Nahusika kwa karibu sana na zao la mkonge. Sasa sijui wewe una uza mkonge au unataka kununua? Funguka tuwekane sawa mkuu.
Back
Top Bottom