Recent content by lisbon eliado tibeliado

  1. L

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    wajuzi nauliza niko na urefu wa futi 5.2 vp nikajaribu zari au nisijishoshe kwenda kabisa kwenye usahili?
  2. L

    Msaada wa bidhaa ninayoweza kufungasha kwa hivi vifungashio na nikauza nikapata pesa

    kivipi ndugu?! huwa naangalia vitu kwa jicho la ujasiliamalindo maana
  3. L

    Msaada wa bidhaa ninayoweza kufungasha kwa hivi vifungashio na nikauza nikapata pesa

    oh ni kweli,nina mtaji wa wastani tuu,ni vizuri wakanitajia biashara ya mtaji wa kawaida tuu
  4. L

    Msaada wa bidhaa ninayoweza kufungasha kwa hivi vifungashio na nikauza nikapata pesa

    Habari wajasiriamali wenzangu,naomba msaada tafadhali kwa hivi vifungashio hapo chini kama nitaondoa hizo label na kuunda yangu na kubandika,ni bidhaa gani haswa naweza kufungasha na nikauza na kupata faida maeneo ya dar es salaam na morogoro mjini?! nawasilisha🙏
  5. L

    Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

    oh ni kweli,ahsante sana kwa hint,ntaanza kutumia hard copy asee
  6. L

    Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

    daah asante kwa hzo hints asee,wacha nizifanyie kazi
  7. L

    Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

    Habari za wakati huu ndugu zangu,naombeni hints za mbinu za kuweza kwanza kupata hamu ya kujisomea,pia kujisomea sana na kwa muda mrefu mno, natamani nisome hata 24hrs/7 ila tatizo kubwa ni usingizi na najikuta nakosa kabisa hamu ya kujisomea baada ya kutoka vipindi. Mimi ni mwanafunzi wa...
  8. L

    Naomba kujuzwa kuhusu kozi ya Diploma in tropical animal health and production

    habari za wakati huu ndugu zangu,kama kichwa cha huu uzi hapo juu kinavyojieleza,tafadhali kwa wenye uwelewa wa hii kozi ya DIPLOMA IN TROPICAL ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION naomba kujuzwa kuhusu ajira zake baada ya kumaliza,kozi za kusoma degree,je inauhitaji kwenye soko la ajira kwa hali ya...
Back
Top Bottom