Sasa do this nikupe tips shosti NVR ever ever everrrrrr fall in love with a guy ambae haoneshi interest me najua kuna wakaka kibao umewaweka kwenye friend zone half unahaingaika na huyu .najua tu siku atakwambia let's go out aisee ruuuuun usiskilize ushauri wa watu wanaokwambia sjui funguka nop...
No ur not too late baby girl. Dnt let society standards define you. Kwanza huyu kaka muache atakuchuna wewe tafuta aguy atakae kupenda huyu hakupendi. Hata siku akikuonesha attention don't fall fr it atakukula halaf akupotezee muda zaidi utajikuta ur 35 then anaenda kuoa 25 shinda moyo kipenzi
Girl he is not into you plss, hta km humuonihisgirl around jua tu anae .also km angekua amekupenda asingekua anakupotezea. Do this love ,muache I swear hta mkiwa wapenzi atakutesa sanaaaa.tupa kkule knw ur worth bby girl
Eti wanaume who would you rather? Mwanamke mwenye bonge LA shape na sura ya kawaida Sana'a au mwanamke mwenye suraa nzurii mnooo lakini shape yake kawaida sana.
Wakati mkitoa majibu nipe na sababu
Ungejua who you talking to wala usinge ji compare woman!!!! I bet ur sooo ugly that's why u find scorpion attractive! What's soo Attractive about this cold blooded killer?
Dah wee Dada ni desperate sana wallahi! Scopion ni romantic? Kwa taarifa yko amebadilishiea shtaka kutoka unyanganyi mpk jaribio LA kutaka kuua na Hugo scorpion hachomoki, I swear u need self evaluation my dear nakuonaga kule MMU lkn skujua ur level of desperate km inafikia hvi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.