Recent content by lisa k

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekutana naye kwa mganga wa kienyeji.Je anafaa kuwa mke?

    mmh....kaka amenishangaza kidogo, vipi yeye anafaa kuwa mume bora!!? Dunia kweli ina mambo!!
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwakasege ashangaa wasichana wa Dar kutoolewa

    nilikuwa kwenye semuna, mwakasege aliwaita wote yaani wanawake wanaohitaji kuolewa na wanaume wanaohitaji kuoa, kiukweli wanaume walikuwa wengi na wanawake walikuwa wengi pia, na mwakasege alikuwa anazungumzia jinsia zote, alipokuwa anafafanua au anaelezea mada ya viapo ndipo akatolea mfano huo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    asante sn, unaweza kunipm namba yako tukawasiliana
  4. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    uko sahihi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    Asante kwa kunielewa
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    Yeah, ni kweli,asante kwa kunitia moyo
  7. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    Thanks frnd
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    thank you!!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    asante!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    asante!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    tatizo wabongo wamezoea kusema uongo kwa hiyo hata mtu akisema ukweli inaonekana ni uongo!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    ur height, urefu wako wa mwili kwa nje unavyoonekana
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata atakayenifaa

    - Nina umri wa 32 - Sijaolewa, sina mtoto - Mkristo mkatoliki - Nina elimu ya chuo - Mwajiriwa Serikalini - Nina hofu ya Mungu ndani yang. Natafuta mwanaume ambaye na yeye anahitaji mwenza kama mimi. Msinishangae mpk umri huo kutokuwa na mtu, jamani mwenzenu yalinikuta nilipoteza muda mwingi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba/mke/sol mate

    age yko mbona bado
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

    mmh!!!
Back
Top Bottom