Hili kanisa, si ndiyo lile lilikuwa linaitwa "THE POOL OF SILOAM?" Hawa jamaa wana aina ya "Injili" ya tofauti kabisa! Kuanzia saa, siku, wiki, mwezi hadi mwaka vina majina ambayo hata kwenye biblia hayapo!
Mungu asimame atutetee!
Kichapo Cha kushitukizwa Tena alfajiri (ya honey moon?) Kinahuzunisha na kutia hasira sana!
Lakini hao hamas nao ni wazi wamechoshwa na hali ngumu walizowekewa na Israel na Misri 2007! na kilichobaki kwao ndiyo hivyo tena, ila naona kama wametia pilipili kwenye kidonda...
Kwa jinsi Uzi ulivyonyooka, nahisi wewe umepotezana (kama umeusoma)
Nina swali kwako, Je unataka kuwa Rubani au Daktari? na una UHAKIKA kuwa utavipata baada ya kuhitimu?
Kama jibu ni ndiyo, NENDA KASOME
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.