Recent content by Lion01

  1. Lion01

    JamiiForums Tanzania KUTOKA SEOUL HADI DODOMA: Rasimu ya Warioba, Hofu ya Watawala Wetu, na Mustakabali wa Katiba Mpya Kuelekea Chaguzi

    Hii rasimu ingepita, ingekuwa ni bonge la katiba, ingeongeza zaidi uwajibikaji na uwazi wa viongozi. Pia imagine waziri sio mbunge dah iyo vita ya hoja ingekuwa balaaa Na Waziri angekuja amejianda vizuri na ahadi lazima ingekuwa rahisi kutimiza. Na kwa jinsi hiyo rasimu ya katiba ilivyo, bado...
  2. Lion01

    JamiiForums Tanzania Nilikuwaga mnene/ubonge kilo 127 nikapunguza uzito mpaka kilo 71, baadhi ya watu wananisema nimekonda

    Ni muda gani umetumia boss? Mana kupunguza kilo 57kg sio mchezo
  3. Lion01

    JamiiForums Tanzania Mnaokula wake zetu na kutuona sisi wazembe, mna hakika nyie mtaweza?

    Sa si umwache ili ukapate huduma nzuri huko
  4. Lion01

    JamiiForums Tanzania Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

    Mungu akupe wepesi aisee Muwe wavumiliivu mtakula vilivoiva
  5. Lion01

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa kinachoendelea mtaani, ni wazi Tundu Lissu/CHADEMA wana kazi kubwa ,No reforms No election it was wrong timing

    Nakubaliana na wewe ilikuwa ni right thing but at wrong time
  6. Lion01

    JamiiForums Tanzania Wadau nataka kujiua

    Check series moja ya kikorea inaitwa TOMORROW, utajua thamani ya uhai hata kama ni ya kufikirika lakini kuna kitu utajifunza. Pole sana kwa changamoto unayopitia
  7. Lion01

    JamiiForums Tanzania Njia zilizotumika kulinda ubakaji karne ya 19

    Kwa iyo saiz nyeto sio shida kwa afya??
  8. Lion01

    JamiiForums Tanzania Manara amchana Rais wa TFF, Wallance Karia, adai anakiburi cha madaraka ya kulevya

    Jamani kama bado anaisema Yanga kwamba, Viongozi wake ni dhaifu na waoga
  9. Lion01

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Labda alimanisha degree zifutwe zisiwepo kabisa kuwe na Veta tu
  10. Lion01

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Nilidhan Majaliwa Ana upresident material lakin nimeona kabisa hatoshi kabisaaa
Back
Top Bottom