Recent content by Lio 002

  1. Lio 002

    Msaada juu ya kuanzsha kipindi cha live show kwenye televisheni

    Kichwa cha habari chahusika, Ninaomba kujuwa ni vitu gani unatakiwa kuwa navyo ili uweze kuanzsha kipindi na steps zake ni zipi na gharama zake pia ni zipi? Asanteni sana.
  2. Lio 002

    Naomba Kufahamu kuhusu mafunzo ya ukomandoo JWTZ Ngelengele

    mm ndio naingya mwaka huu karibu sana
  3. Lio 002

    Nitapata faida gani nikimiliki timu ya mchangani?

    Nilitegemea saana uwepo wako coz niliumiss saana muandiko wako but vp upo salama?
  4. Lio 002

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Thanx nishakaribia
  5. Lio 002

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Ni katika harakat za kufanikisha hii sikukuu ya Xmass
  6. Lio 002

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    I miss you all guyz
  7. Lio 002

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Ww ni upepo,hufata bendera
  8. Lio 002

    Msaada; nitawezaje kuwa na kikundi cha uchawi mkubwa kama freemason.

    Nimejaribu kufikiri kama Illuminat members mkuu
  9. Lio 002

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Nadhani utakuwa na undugu wa karibu na Pdidy
  10. Lio 002

    Msaada; nitawezaje kuwa na kikundi cha uchawi mkubwa kama freemason.

    Mfumo wanaotumia freemanson ni ule uliotumiwa kwenye ESCROW
  11. Lio 002

    Namuhurumia sana msichana huyu but nashindwa kumsaidia

    Pole yake saana huyo mdada
  12. Lio 002

    Nitapata faida gani nikimiliki timu ya mchangani?

    Asante nimekuelewa vizur mkuu wangu thanx kwa ushaur wako
  13. Lio 002

    Nitapata faida gani nikimiliki timu ya mchangani?

    Huwezi kupata faida kwa kushiriki ligi nyinginyingi
  14. Lio 002

    Nitapata faida gani nikimiliki timu ya mchangani?

    Luksa na ww kuchangia mkuu
  15. Lio 002

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Nduki you tube kumuangalia mwana dar es salaam msinionee gere kama vp vaa miwan
Back
Top Bottom