Utahonga na hela hiyo hiyo utakayohongea ataenda kumhonga mwanaume mwingine anayempenda yeye ili amgonge vizuri. Wewe utbakia spare tyre kazi yako kutoa hela yy anaenda kustarehe na masharobaro wake huko.
Kwa kweli inasikitisha sana. Kwann wawaue waafrika wenzao wawaache wazungu ambao nao wamekuja toka Ulaya na America kuchukua kazi zao?? Hawa jamaa hawana akili kabisa.
CHRISTINA SHUSHO is the Best Gospel Singer in the country. Na ukitaka kujua Shusho anakubalika na anapendwa nenda nchi za jirani kama Kenya, Rwanda, Burundi na Congo DRC uone anavyokubalika. Cheki video zake zilivyo tofauti kwani ni za quality ya juu kuliko mwimba mwingine yeyote hapa Tanzania...
Huyu Gwajima ni kituko cha mwaka. Nakuhakikishia safari hatapona. Lazima watamsweka lupango zaidi ya mwaka mmoja au miwili kwa makosa mawili. MaKosa ya kumiliki silaha kizembe na kuwaachia mabodigadi wake na kosa la kumtukana Pengo hadharani ndio yatakayomfunga huyo Chizi akanyee debe.
Kwa huyo ni ruhusu kwa mtumishi wa mungu kumtwaa mke wa muumini wake na kumzalisha sio? Hili kanisa la Gwajima basi ni la mashetani kabisa. Na nyie waumini wake mpo hapo nyuma yake mnamwabudu. Mnamwona yeye ni mungu mdogo. Nadhani nyie ndo mmepotoka kabisa.
Hivi nyie mnaomtetea Mzinzi Gwajima mnamjua mungu kweli? Yaani mtu hadi anamnyang'anya mtu mke na kumzalisha bado mnaenda kumsikiliza n kumwabudu.Kweli nyie hamnazo mburula kabisa kesho mtaambiwa mkajitoe mhanga Al-shabab mtakimbilia huko bila kufikiri. Huu umaskni wa kufikiri watanzania sijui...
Kuna ajali nyingine ya Basi la Kilimanjaro Express lililokuwa likitoka Arusha kuja Dar limechomekewa na Lorry likainga kwenye mtaro kutokana jitihada za dereva majeruhi hakuna aliepoteza maisha.
Nadhani huyu Gwajima ni tapeli la kimataifa na inawezekana ana biashara nyingine haramu anafanya kwa mgongo wa kanisa. Lazima kuna kitu polisi wamemshtukia ndio sababu wanajaribu kumhoji na lazima tu ukweli utajulikana.
Usifikiri kila anayejiita nabii au mtume aliyetumwa na Bwana kama mtumishi...
Unaambiwa eti hii ajali ilitokana na dereva kusinzia saa 6 za usiku basi likiwa kwenye mwendo wa kasi ya ajabu. Nilishasema jamani hivi viroba vitatumaliza.
Hivi jamani tufanyeje sasa na hawa madereva? Hapo lazima kuna makosa yanayojirudia kila siku na ndio hayo hayo yanayosababisha ajali na kuua nguvu kazi ya taifa letu hili change. Kosa hapo lazima litakuwa ni mwendo kasi, ulevi wa viroba, dereva kuchoka na kusinzia au ku overtake kwenye kona au...
Nashauri pia madereva wa mabasi na malori wawe wanapimwa kilevi mara kwa mara. Nawahakikishia viroba vinahusika sana kwenye hizi ajali hata kama mtakataa. Dereva akishuka tu mahali anapoenda kupumzika lazima ashushie kiroba kimoja au viwili na vingine anaweka mfukoni au anachanganya kwenye chupa...
Sio kwamba sijakuelewa Data. Ni kweli kwamba huyu Captain Komba alikwenda to the extremes na mama alijitahidi sana kuziba masikio. Lakini kwa hii michepuko ya kawaida tu ya mara moja au mbili kwa mwaka na bila hata kukuletea motto wa nje, mwanamke kama huyu ndo anapaswa kuolewa maana atasimama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.