mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
Huyu Gwajima sijui ni mwehu!?eti anamwambia Rais Kikwete awaambie polisi wasimfuate fuate na kama wakiendelea atajua yeye ndio anawatuma wamfuate!bora hata angesema waziri wa mambo ya ndani awakataze polisi wasimfuate,fedha inaleta kiburi sana.
Halafu sisi wakristo tunalindwa kwa damu ya Yesu popote tulipo kwa imani yetu lakini huyu mpuuzi Gwajima eti anajilinda kwa bastola tena akiwa ICU?!!
Mimi nadhani akapimwe akili pengine ni mwendawazimu,uswahilini wanaita chizi fresh. Nasikia leo tena katoa mpya sijaipata bado!
acha ubwabwa ww hiyo damu ya yesu ni imani tu akina pengo wote hao wana vya moto kalia hivyo hivyo na damu ya yesu uone kama itamzuia jambazi