Recent content by lingula70

  1. L

    JamiiForums Tanzania Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

    Wenzetu wapo smart, hapo kila abiria keshatafutiwa hoteli kwa maana msosi na malazi na shuttles. Including crews ofcourse.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania kuamini kila kitu cha kwenye mtandao ni kutokana na sisi kutoi-control mitandao

    Anza kutumia jina lako kuanzia sasa
  3. L

    JamiiForums Tanzania Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

    Sio ishu sana. Hao watu wanaangalia opportunities, ndio maana wanaleta ndege zao zingine na kila siku zipo kwenda na kurudi zinapishana.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Kwa Viongozi wote wa Chadema kuanzia muda huu

    Kwani tarehe 26 04 kunaa nini kwenu CDM, si ni siku ya Muungano ama kuna kingine huko
  5. L

    JamiiForums Tanzania Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

    Hilo la mizigo litatua tu waka halina shida
  6. L

    JamiiForums Tanzania Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

    Watz mawazo mafupi saana. Kutua kwa emergency kwa ndege hakujaanza leo. Hata Arusha ilitua Ya ethiopian airlines mita kadhaa tu kutoka KIA. Ni jambo la kawaida waliomba viwanja vingine labda wakakosa nafasi ndio wakapata JNIA. So isiwe ni suala la kuzodoana na kukebehiana kwanza tumeokoa maisha...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

    Si inaenda mauritius.
  8. L

    JamiiForums Tanzania RWANDA: Kagame nataka kila anayetaka kuanzisha kanisa awe na shahada ya Theolojia

    Saa nyingine ni sawa tu. Maana makanisa ya akina nabii tito ndio yaliyokuwa rwanda unategemea nini
  9. L

    JamiiForums Tanzania Siri ya Wasanii kula bata Mbalinzi Mbeya baada ya mazishi ya Masogange

    Kwani ulitaka wafanyaje zaidi ya kuendelea na maisha yao? Huyo kafa na maisha yanaendelea
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ninampitisha rasmi SANCHI kama mrithi wa MASOGANGE

    Ujinga wa std four kuweka urithi wa matako.
  11. L

    JamiiForums Tanzania DART mbioni kupoteza hadhi yake katika jiji la Dar

    Hawajamalizana vizuri na maxcom angalia hata kwenye news bado maxcom wanadai 1.5bn kama gharama ya uwekezaji
  12. L

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Hakuna mtu wa kukidhibiti Chama cha Wanasheria Tanganyika( TLS)

    Hata babaake naye ni mti mkavu tu
  13. L

    JamiiForums Tanzania DART mbioni kupoteza hadhi yake katika jiji la Dar

    Transition ni mpito ili huduma isisimame. Unaweza hata ukakata ticket mlangoni kabisa kama daladala tena wakati wa kushuka Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
  14. L

    JamiiForums Tanzania DART mbioni kupoteza hadhi yake katika jiji la Dar

    Gari ni mpya zimeongezwa kuboost mahitaji halisi. Kilichokuwa kinaendelea ni kuziingiza kwwnye mfumo wa eticketing na routing ndo mvua zikaanza. Tegemea soon kuziona
Back
Top Bottom