Nakumbuka miaka ya nyuma Tanesco mlikuwa na kitengo cha security na ninaamini malengo ya kuwepo kitengo maalumu cha security ni kulinda miundombinu ya shirika na kuwasimamia waajiliwa (staff) ambao wanajishughulisha na ukishoka (kusimamia nidhamu kwa waajiliwa pia).Shirika kama tanesco...
Afadhali Tanesco kwa mala ya kwanza mmejbu wazo LA mdau.OK mnalifanyia VP kazi swala la wafanyakazi wa Customer care zote za Dar kuwa madalali wa fomu za maombi ya mwanzo wanazochukua wateja? wakishirikiana na baadhi ya wanaojiita et makontractor wanaoshinda nje ya Tanesco?.Pia mm ninaamin ni...
Chaji ya cm kupata joto wakati inapotumika hasa zile feki,kwa kijana wa VETA aliehudhulia mafunzo vzr pale chuoni na kupasi gani iyo vzr tatizo Dogo sana kusolv kijitatizo ulicho kitolea mf. C vyema kuheshimu vyeti tu in vzr aheshimiwe mtu apimwe uwezo wake wa utendaji kwa vitendo na nadhalia...
Startimes, na vin'gamuzi vingine vyote in wakati sasa mubadilike yani mteja akinunua kifulushi kiwe kinachaji kutokana mteja anavyo tumia (mf luku),na c iv mnavyokata kwa mwezi mteja atumie actumie ukiisha mwezi tu inaxpare binafc ninaona ni unyonyaji, ebu nendeni na wakati bc
Wafanyakazi wa Costemer Care za Dar es Salaam ni vishoka. jinsi wanavyo piga,kwa wale wateja wapya wanaokwenda kuchukua maombi ya mwanzo,
wafanyakazi wanammezea mate ili aende kwake mmoja wao mteja akienda tu kumuuliza mmoja kati yao basi mfanyakazi yule anakuwa kisha pata dili eti utamckia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.