Recent content by LINDAIKEJI

  1. L

    Sasa naiona TISS ile niliyoitaka. Hongereni sana wana TISS wote!

    Halafu hata mihogo kuna michungu mpaka inaua, na bamia zinatibu vidonda vya tumbo. Haijalishi una nini inajalisha matumizi Mr Hogoz
  2. L

    Sasa naiona TISS ile niliyoitaka. Hongereni sana wana TISS wote!

    Kiroho safi, unawezaje mteua mtu usie mfahamu?
  3. L

    Sasa naiona TISS ile niliyoitaka. Hongereni sana wana TISS wote!

    Ukifika muda wa kuwapa sifa unishtue na mimi basi
  4. L

    Haya ndio mambo yanayomfanya Rais Magufuli kuwa wa pekee kuliko watangulizi

    Kinanichosha kabisa eti watu wamemmis Mkwere. Kama haitoshi eti watu wanatetea wenye kutukana mitandaoni, funny enough watu mpaka tunachambua lipi tusi lipi si tusi just to make sure someone is wrong somewhere. Well, JPM anasema tumuombee, anasema yeye si rais bali ni mtumishi wewe, ee Mungu...
  5. L

    Nick wa pili karusha dongo kwenye chama fulani

    Jokes aside,kuna demokrasia CDM ?
  6. L

    Kuwatambua waliofeki elimu/vyeti huitaji kwenda mbali...Angalia uwezo wao wa kuongea Kiingereza!

    Very stupid kipimo, lugha si kipimo cha usomi hata siku moja. And by the way kiingereza ni kama lugha yoyote ya kienyeji kama kijaluo. Sasa mjaluo akiongea utasema ni msomi ujaluoni?
  7. L

    Tangazo la Coca Cola na ubunifu wake

    Itakua poa kama utakua unaangalia tv kulivizia. Usipende miteremko
  8. L

    Katika mawaziri wa Rais Magufuli, nimekunwa na utendaji wa Lukuvi

    Somehow you are too negative. Hebu muongelee lukuvi kwa wizara yake kama mleta mada ila ukiongelea siasa hamna msafi
  9. L

    Mambo usiyoyajua kuhusu Dodoma

    Mi nimekulia Pwani & Dar. Wale si kwamba wavivu ila hawa tamani maisha mazuri na wanaridhika na vitu vidogo saaana. Yani wao mkeka barazani, jirani apite umbea bhaaaas hayo ndo maisha.
  10. L

    Mambo usiyoyajua kuhusu Dodoma

    Hawa mbona ni watu wanaongoza kwa vibarua hasa mashamba ya mikoani kulima? Nadhani tunayoyaskia na uhalisia wa Dom ni tofauti
  11. L

    Dar: Siku za mwizi ni 40, mwizi maarufu wa magari hatimae anaswa

    Naomba ufafanuzi, ni site mirror ama side mirror?
  12. L

    Fundi nguo wa Sinza palestina Witness ni Tapeli

    Mke mwee itakua [emoji28]
  13. L

    Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

    Weee Erasto mtu wa wafu wapi? Alimkana mwanae wa kuzaa mwenye kufanana nae mpaka matege na hakuwahi kumtunza licha ya DNA kuprove ni wake? Alikua maarufu kwa kutembea na wake za rafiki zake, na alikua ni mgeukaji mkubwa sana katika biashara. Hizi ndo sifa halali za Erasto
Back
Top Bottom