Mwanafunzi Mtanzania kakutwa amekufa/ameuawa Bangalore India

Washikaji nimetafuta official report ya kifo chake kutoka kwa polisi india ktika magazetu ya india lakini hazipatikani online... je kuna mtu yeyote ameiona stori hii katika magazeti ya kihindi?

Ningependa kujua wanachokisema wahindi wenyewe
vitu kama hizi wahindi wana nyamazaga tu!
 
Poleni wafiwa
MUNGU ailaze roho ya Marehemu pema peponi. Amen
 
Wahindi wanawadharau sana na kuwatesa sana watu weusi wanaosoma lndia. ukipata shida ukipiga simu polisi wanakuuliza are u black american or african, ukisema african husaidiwi lolote wala chochote

Bujibuji sikubaliane nawe kwa hilo kwa sababu moja, huo siyo uhindi, ni ubinadamu wenyewe! Je mara ngapi Watanzania kwa watanzania wanafanyiana unyama wa kupita kiasi?

Je unafahamu kuwa ndugu zetu Ma albino wananadiwa nchini kama dhahabu!

Mara ngapi ushaita polisi tanzania wakaja kukulinda kama wewe ni kabwela? Mara ngapi wa tanzania wa kawaida (wasio na pesa) wamekuwa wanaonewa hadharani bila hata ya sababu yeyote?

Anyway, wafiwa, poleni
 
na hata majamczi wakivamia sehemu. mkiwapigia cm polisi wev watakuja baada ya majambazi kuondoka.
"SALUTE"
 
Wasichana wa JF bwana!! Ina maana asingekuwa hansome msingehuzunika? Better to be silent !!

Hapana mkuu Gabu, hii inaonesha jinsi wanaume na wanawake wanayotofautiana katika kufikiri, kupokea taarifa na mitazamo ya kimaisha!.

Once again, tumwombee marehemu alazwe pema, na tuendelee kuwapa faraja wafiwa.
 
Wahindi bwana! wamekaa kiubaguzi tu.Shame upon them.Kwanza wana dharau km nn nashangaa viongozi wetu wanawapachika kwenye magorofa hlf wao wanamwagiwa maji kwa juu.Rushwaaaaaaaaa ndo zinawapa kiburi.siwapendi km nn hawa wahindi
 
So so sad, you have gone too soon 'Dogo'! Nina memories nzuri za Imran kila nikikumbuka Old Moshi, such a nice chap!
 
Hivi kichwa cha huyu kijana kilipatikana? Na serikali ya Tanzania ukiacha kusafirisha mwili je ili condemn hadharani kitendi hicho?
 
That is "I Doh Ave a Color Problem", one of my favourite poems from Mutabaruka. Ironically, the poem ends with the words ..I just had a blackout...

Imran, I feel like I have met you...RIP

Thanx for da info PlanckScale.
 
t makes me to b so sad kuona how watu wanavyojaza uongo na fikra chafu kuhusiana na hichi kifo na habari zooote kuhusiana na maafa haya...

kwanza wasemao kichwa chake hakikupatikana,nawaomba waache kuandika tetesi wasikiazo mtaani,waulize ndugu zao vizuri walioenda kuona mwali,walioneshwa mabaki ya kila kitu....

pili je ni kwanini ndugu zake walikataaa saidia polisi kwa maelezo zaidi?

tatu wasemao alikua amemaliza degree yake ya engineering akifanya course fupi fupi kwa muda na kujifanya kumjua vilivyo waache uongo waeleze kwa kina kwa mwaka mzima aliokuwemo india alikua akifanya vitu gani baada ya kumaliza degree yake ya business management bila kusoma hata course yoyote ya week moja?

nne wasemao na kueneze habari kuwa alikua ana majeraha kwenye mikono na miguu wameuona huo mwili?au ndio wanasikiza tetesi na kusambaza kama zilivyo?ukweli ni kuwa alikua na jeraha moja tuuuuu ambalo ni treni kumkata kichwa kwingine kooote hakuwa na jeraha lolote lile....ndugu zake walioenda ona mwili after report kutolewa wanaujua ukweli huo maana mwanzo ilianza sambazwa habari kuwa ni clear cut shingoni wakati ni uongo mtupu

wasemao kuwa waliwahi ongea na ndugu yao kuwa alikua anarejea nyumbani week ya kifo chake na alikua ashakata ticket hao ndo wakae kimya kabsaaa cz they r trying ku create a movie isiyokwepo ukweli halisi watu wake wa karibu wanajua

na mwishoo wasemao sijui wenzetu wa ivory coast wameleta sijui waziiri wao kuja tambua mwili wa mwingine mwafrica aliyeuwawa na wakautambua ni uongo mtupu maana mwili ule uko mpaka sasa haujatambuliwa due to kuharibika vibaya mno ila tu maneno yamesambazwa na watu wote wakaamini ni mu ivory coast ndo kauwawa...

what i am trying to say is tujaribu kuwa makini na maneno tusemayo na rumours tusambazazo cz they can lead to some serious problems wakati hatujui ukweli wa mambo,kama mtu hujui kitu ni boira ukae kimya usubiri kuambiwa ukweli sio wewe kujifanya kujua wakati hujui
 
The focus should be kumwombea marehemu safari njema, and to express our sorrows. Haya mambo ya kukosoana, bora umngeyamezea kwasasa. Unajua nawewe unaweza kuulizwa utoe data, halafa kuta jaa ubishano na kukosoana tuu.

Natumaini utakubaliana namimi kwamba tuiache hii thread iwe ya kumpa heshima marehemu, na nduguzake.

Thanks
 
Wakuu,

Kuna habari kuwa mwanafunzi Mtanzania kakutwa amefariki Bangalore India.Habari zinasema huyo kijana kakutwa amechinjwa na polisi wanaendelea na uchunguzi.

Kwa jina anatambulika kwa jina Imran.Tafadhali kama kuna mtu anweza kuwapata watu wa ubalozi watamwaga data kamili.pia naskia polisi wanataka kuleta uzushi flani ktk investigation..so juhudi zinahitajika kutoka ubalozini ili mambo ya uchunguzi yafanyike kwa makini.Pia nikipata news zaidi nitawajulisha

imran.jpg
hii kesi ya mauaji ya tangu mwaka 2010 iliishia wapi? ndugu wanafuatilia? watuhumiwa walikamatwa na kufikishwa mbele ya mahakama? were they convicted?
 
t makes me to b so sad kuona how watu wanavyojaza uongo na fikra chafu kuhusiana na hichi kifo na habari zooote kuhusiana na maafa haya...

kwanza wasemao kichwa chake hakikupatikana,nawaomba waache kuandika tetesi wasikiazo mtaani,waulize ndugu zao vizuri walioenda kuona mwali,walioneshwa mabaki ya kila kitu....

pili je ni kwanini ndugu zake walikataaa saidia polisi kwa maelezo zaidi?

tatu wasemao alikua amemaliza degree yake ya engineering akifanya course fupi fupi kwa muda na kujifanya kumjua vilivyo waache uongo waeleze kwa kina kwa mwaka mzima aliokuwemo india alikua akifanya vitu gani baada ya kumaliza degree yake ya business management bila kusoma hata course yoyote ya week moja?

nne wasemao na kueneze habari kuwa alikua ana majeraha kwenye mikono na miguu wameuona huo mwili?au ndio wanasikiza tetesi na kusambaza kama zilivyo?ukweli ni kuwa alikua na jeraha moja tuuuuu ambalo ni treni kumkata kichwa kwingine kooote hakuwa na jeraha lolote lile....ndugu zake walioenda ona mwili after report kutolewa wanaujua ukweli huo maana mwanzo ilianza sambazwa habari kuwa ni clear cut shingoni wakati ni uongo mtupu

wasemao kuwa waliwahi ongea na ndugu yao kuwa alikua anarejea nyumbani week ya kifo chake na alikua ashakata ticket hao ndo wakae kimya kabsaaa cz they r trying ku create a movie isiyokwepo ukweli halisi watu wake wa karibu wanajua

na mwishoo wasemao sijui wenzetu wa ivory coast wameleta sijui waziiri wao kuja tambua mwili wa mwingine mwafrica aliyeuwawa na wakautambua ni uongo mtupu maana mwili ule uko mpaka sasa haujatambuliwa due to kuharibika vibaya mno ila tu maneno yamesambazwa na watu wote wakaamini ni mu ivory coast ndo kauwawa...

what i am trying to say is tujaribu kuwa makini na maneno tusemayo na rumours tusambazazo cz they can lead to some serious problems wakati hatujui ukweli wa mambo,kama mtu hujui kitu ni boira ukae kimya usubiri kuambiwa ukweli sio wewe kujifanya kujua wakati hujui
Cc: Ben Saanane.
 
Unasuta kisomi nimekupenda bure
 
R.I.P,jamani hawa wahindi wanatutakisha nn? Wake hawataki kutupa wanatubagua,bado kwao wanatuchinja,inauma.
 
Hivi ndo vitu ambavyo magazeti ya tanzania yangekuwa yanaongelea na si kila kukicha stori zanzibar wema ...mara lulu.. na upuuzi mwingine usio na msingi...mamia ya watanzania wanapatwa na majanga but they don't publish
 
Back
Top Bottom