Recent content by lincolin

  1. lincolin

    PICHA: Athari za mvua jijini Dar es Salaam

    Dereva aliepanda juu ya mti akaacha Land Cruiser ni wa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
  2. lincolin

    Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

    Rest in Eternal Peace Maalim Muhidin Gurumo.Umeondoka ila ujumbe wako kupitia sanaa utabaki milele.Msondo Ngoma poleni sana,wameenda wote Seleman Mbwembwe,Athuman Momba,TX Moshi,Said Mabela na sasa Gurumo.Poleni.
  3. lincolin

    Mpenzi wangu anawashwa sana

    Samahani mi napita tu njia.
  4. lincolin

    Ulevi: Mkuu wa Kituo cha Polisi Kahama agonga watu watatu, mmoja afariki!

    Hao ni polish,na wamepolishiwa wakapewa nafasi kwa vyeti vya kununua.Unategemea nini cha maana kutoka jeshi la polish (sio Polisi).
  5. lincolin

    Hoja Korofishi: Zanzibar Ipewe Nafasi Kutazamana na Mizimu Yake...

    Kodi gani Zanzibar mnayoweza kutoa?Kodi za Zanzibar zote hukusanywa na ZRA,na wanakusanya bilioni zaidi ya 8 ambazo zinatumika kugharamia maisha ya nyinyi Wazanzibari msiojua kufanya kazi zaid ya bao,umbea na ......Mnalipiwa umeme na maji,elimu na afya na vijumba vyenu vya Maendeleo.Watumishi na...
  6. lincolin

    Hoja Korofishi: Zanzibar Ipewe Nafasi Kutazamana na Mizimu Yake...

    Hivi kwani Zanzibar inatusaidia nini hadi tuing'ang'anie kiasi hicho?Mimi sioni faida yoyote tunayopata kutoka Zanzibar.Tuwaache waende zao.
  7. lincolin

    Kificho kuwa M/Kiti wa muda Bunge la Katiba

    Mwenyewe ana misimamo mikali ya kiccm na huwa ni controversial figure.
  8. lincolin

    Kikwete: Mpaka sasa, Tanzania kuna Ndovu 13,084 tu wakati mwaka 1976 walikuwa 109,419

    Ni aibu serikali inaishia kubwabwaja kila siku kuwa wanawajua majangili,drugs cartels na wahalifu wengine,mbona hawachukui hatua?Wanawaogopa?Au ni wanafamilia wao?Tajiri wa Arusha anaogopwa hata kutajwa na Rais wa nchi,tumefikia pabaya kama taifa.
  9. lincolin

    Kikwete: Mpaka sasa, Tanzania kuna Ndovu 13,084 tu wakati mwaka 1976 walikuwa 109,419

    Hizi ni sawa na ngonjera au nyimbo za majigambo tu,kama anawajua kwanini asiwakamate nchi ikatulia na hivi visa vya majangili kila kukicha? Hao majangili wamemzunguka kuanzia serikalini hadi chamani.Wanajua hawezi kufanya lolote,ni chui wa karatasi!!!!!!
  10. lincolin

    Mwenyekiti wangu CCM Jakaya Kikwete: Lowassa's buck stops with you!

    Let Edo become the President.6 na yule jamaa wa mtama wataitumbukiza nchi shimoni.
  11. lincolin

    The Death of Prof. Malima 1995

    Unamshabikia Malima?Inavyoonyesha nyinyi mnadhani aliuawa wakati alikufa kwa mapresha yake baada ya kutoka Mecca na kwenda London ambako alitaka kwenda kulipia Landrover 200 alizokuwa ameagiza,alipofika bank akakuta Kikwete ameshapita na kuchukua hela zote alizokuwa amewaibia Watanzania.
  12. lincolin

    Mwana CCM yoyote akinijibu hili nahamia CCM

    Barabara zenyewe wakandarasi hawana uhakika wa kulipwa.Wameboresha utapeli na blablaaa kwa miaka 50.
Back
Top Bottom