Recent content by LIMWACHUSI

  1. LIMWACHUSI

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia na usomi wake wa kiwango cha PhD anataka bunge libariki kitu kama hiki?

    Yeye ameuza vitu vingapi vya umma? Au huzijui biashara zake??
  2. LIMWACHUSI

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia na usomi wake wa kiwango cha PhD anataka bunge libariki kitu kama hiki?

    HAPO NDIPO MTAKAPOJUA UMHIMU WA MULTIPARTY PARLIAMENT.....Kungepigwa kelele Bungeni Hadi wanaotaka kupitisha huo mkataba WA KARL PETERS wangeona aibu. Sasa Bunge la Chama kimoja hakuna Hoja pinzani ni mwendo wa NDIYOOOOOOOO......unategemea Nini?
  3. LIMWACHUSI

    JamiiForums Tanzania Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

    Akili ndogo Sana hiyo. You can not reason in such logic
  4. LIMWACHUSI

    JamiiForums Tanzania "Plasduce Mbossa: Hakuna Mkataba wa Miaka 100 katika Bandari ya Dar es Salaam"

    Vigezo ni pamoja na Serikali kukusanya 100% Kodi na sio Kodi zinakusanywa na wajanja janja humo bandarini then Kodi zinavuja mifukoni mwao. Kuna kitu Watanzania Bado TU gizani. Kwani kampuni likiwekeza Mnafikiri mnaibiwa?? Sasa ni Bora abanwe mtu mmoja awe anatoa Kodi moja Kwa Moja.
  5. LIMWACHUSI

    JamiiForums Tanzania Uteuzi mpya wa Rais Samia, leo Juni 8, 2023, Prof. Abel Makubi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa MOI

    Umechoka na Taarifa za teuzi Kwa Awamu Hii tu au umekuwa unachoshwa vipindi vyote hata vilivyopita?
  6. LIMWACHUSI

    JamiiForums Tanzania Wimbi jipya la COVID 19 limethibitishwa kwa Majirani ila siyo kwetu

    We had a mad man we ever seen
  7. LIMWACHUSI

    JamiiForums Tanzania Mbowe anapigiwa saluti kama nani? Kwani akipigiwa saluti ndio CHADEMA mnapaishwa kisiasa?

    Kupita Jkt ndio kitu Gani!???
  8. LIMWACHUSI

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wanakwepa kusajili stoo zao? Taarifa zinasema wamejaza mali za magendo baada ya kuziingiza nchini isivyo halali

    Sasa rafiki yangu Mbona una kichwa kigumu sana? Unaambiwa mizigo inapita njia za magendo! Sasa maafisa wa Serikali ni wengi kiasi Gani wafichame Kila mapori ya mipaka ya nchi hii??
  9. LIMWACHUSI

    JamiiForums Tanzania Kwa anavyoonekana Paul Kagame ni mgonjwa?

    Jamani Uzee nao kapigana msituni miaka hiyo ya 1980's Hadi mwanzoni mwa 1990's
  10. LIMWACHUSI

    JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha mnakula bata wapi?

    Picnic ndio habari ya mjini
  11. LIMWACHUSI

    JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha mnakula bata wapi?

    Picnic Ni hatar Sana chuga
  12. LIMWACHUSI

    JamiiForums Tanzania Sera ya elimu bure na utekelezaji wake mashuleni kwa sasa

    Elimu sure. maana ake Nini?
Back
Top Bottom