Recent content by limbongambonga

  1. L

    Arusha: Tishio la CHADEMA kuandamana nchi nzima, Polisi wakesha wakilinda sehemu za wazi

    Mimi nilijua mpo ktk maandamao kumbe mpo nyuma ya key board zenu mnapost tu. Unajua haya maandamano Mbowe kaandaa kwa ajili yennu mazuzu wake ajabu nyie mnaandika mahali fulani wanaandama wakati yanawahusu nyie wote au nyie miili yenu ishachangamshwa tayari maana pamepita kitambo hamjapata...
  2. L

    Maandamano Arusha 20/9/2014 Kutumika njia 6 tofauti

    Tatizo yule bwana mkubwa akishakula cha Arusha anazomoka tu. Kesho tunaandamana na wenzangu na miye akina baba kantuma hawaulizi wao mbele mbele nilicheka sana siku ile Slaa alivyojificha nyuma spika wenzie wanachukua mkong'oto alipoona wanajia upande wake akanyoosha mikono juu anaomba amani...
  3. L

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa TBS Bwana Charles Ekerege Ahukumiwa kwenda jela

    Hivi kuna siku mkakubali kitu? Wakifungwa mnalalamika na wakiachiwa pia mnalalamika hata wezi wa EPA walivyofungwa pia mlilalama sasa sijui ni lipi la kheri kwenu msiotosheka nyie ndio mnaotupa taabu hata siku ya maziko yenu mnafukiwa na bado Udongo unakua hauwatoshi hadi tukakope ktk makaburi...
  4. L

    Ester Bulaya: Bunge la Katiba halina morali, CCM itumie busara

    Huyu binti kihere here tunajua anataka serikali 3 ili apate ubunge wa mkoa wa Mara ktk Bunge la JMT ila kapotea anachonga sana hulazimishwi kama huna morali ondoka mfuate jamaa yako mnayesagisha.
  5. L

    POLEPOLE: Vijana jiandikisheni kupiga kura ya hapana katiba mpya

    Umwage damu ya nani? Mnduku wako unaijua vita wewe? Unakula ugali unashiba unaona vitu vya mzaha mzaha.
  6. L

    CCM yazidi kutumia mbinu chafu dhidi ya upinzani

    Ww poyoyo siku nyingine ukitaka kuandika kitu ujipange sio unaleta thread zenye makosa kibao ya kisarufi na kiandishi au umeandikia bar kichwani una safari 4?
  7. L

    Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

    Mnapenda kujidanganya na kujifurahisha na Ushindi ktk Jf na Fb mwisho wa siku mnakung'utwa hadi mnakua nyang'a nyang'a na huwa mnapotea humu hata kwa mwezi na tafiti zenu za kuwatumia akina Dr. Matunge na Mwizukulu Jilala mwakani mtashangaa wananchi watapowapoka hata kdg mlichonacho mtashangaa...
  8. L

    Wasifu wa Mheshimiwa Shibuda

    Huyo Comando Kalala wamemchokoza wenyewe sasa mwaiona nghondo mwafunga milango. Huyo Magare Shibuda mmefuata wenyewe sasa mwauona moto mwapiga kelele. iyo iyo mama iyo.... Waungwana hilo mnalo limewaganda hadi 2015 mlisema mengi kuhusu chaguzi za CCM kipindi mpo wadogo mnapeana tu vyeo wewe...
  9. L

    Hatimaye jimbo la Ubungo lapata viongozi wapya

    Ila jamaa mna akili sana nawakubali wale wachagga hamkuweka majina yao ya ukoo ila mmepiga mawili mawili tu ila hao akina Linjewike mmepiga na ya ukoo ionekana mambo sawa. Ila hapo wenye chama chao ni 70% mnajificha nyuma ya muashok mtaonekana tu.
  10. L

    Peter Mutharika, Rais mpya wa Malawi: Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi!

    Ninahisi atakua anamaanisha Zanzibar Hotel iliopo pale mtaa wa Zanaki.
  11. L

    Sugu amuumbua Waziri Magufuli

    Magufuli tenda wema nenda zako usingoje shukrani hawa wapinzani ni kama watoto wa kambo hawana shukrani wala ahsante wakipewa wanalalamika wakinyimwa pia wanalalamika mvua hizi za mwaka huu kuharibika miundo mbinu na akitokea mpuuzi kulalamika wala usimshangae kwa vile mwanakharamu hata umweke...
  12. L

    Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.

    Ni upuuzi mtupu joto la jiwe liko wapi hapo? Ukiona huna la kusema ni jambo jema unyamaze kuliko kuongea vitu ambavyo havina mashiko mara kazomewa mara kapigiwa makofi mfululizo sasa tushike lipi ww yaya wa Junior Slaa?
  13. L

    Kikwete aandika Historia katika kulifanya Jeshi la JWTZ kuwa la Kisasa

    Haya ww pimbi tutajie zile za kisasa unazojua tatizo lenu hata jema alimurad limefanywa na serikali ya CCM lazima mpinge huu ni upimbi na upuuzi uliopitiliza acheni fikra za kijinga.
  14. L

    Kwanini Kikwete hana shukrani kwa Warioba?

    Ww ndie Zezeta na pia ni Punga Junior Slaa analia nenda kambembeleze. Maana ww na Ben Sa8 hamna tofauti. Kikwete ni kiongozi aliyepita ktk tanuri la Uongozi amepita ktk kila ngazi hadi kufikia Urais sasa ninyi wengine hata Ubwabwa wa Shingo haujawatoka mnaleta shobo za kijinga zisizo na mpango...
  15. L

    Mbunge captain John Komba hii ni aibu...

    Ni dhahiri sasa mmeishiwa mnajadili hata watu wakienda Kanisani na Msikitini. Nadhani si muda mrefu mtaanza kujadili nani ameenda msalani mara ngapi na alibeba kopo au hajabeba? Ni dalili za kuishiwa kuanza kujadili watu badala ya issues na huu ni Umbeya uliotukuka Ubora.
Back
Top Bottom