Recent content by liloo

  1. L

    Lowassa Rais UKAWA, Mwenza - Slaa, Lipumba - Waziri Mkuu, Zitto naye ndani

    Watu humu povu la nn? Tunataka kujua jambo moja tu huu basi! Tanzania bila CCM inawezekana au haiwezekani tu basi? Mapovu ya nn humu?
  2. L

    Ukiwa CCM unakuwa fisadi ukiwa CHADEMA Msafi upinzani

    Hilo nalo jambo!! Ni kweli kabisa, waliomkata hawakuyafikiria hayo yote; Kama kweli atahamia upinzani ni Watanzania watafanya kama walivyo fanya wakenya! pamoja na kumchafua Uhuru na bado walimchagua kuwa rais wao na leo anaonekana rais bora!
  3. L

    Lowassa: Sikuhitajika na Wakubwa!

    ww sifongo mbona hujapumzika humu JF!? Acha kebehi! Hii nnchi siyo yenu pekeyenu na wala ww hunamamlaka na maamuzi ya mtu mwingine!
  4. L

    Mzee Mtei na Kingunge kuleta ukombozi kupitia Lowassa, CHADEMA na UKAWA

    Kwa sasa sihutaji pirojo, nahitaji kuona jambo hili linatokea ili sisi wanaharakati tuweze kujua ni kweli Wananchi wanachagua chama au Wanachagua Mtu?
  5. L

    Kingunge: Mchakato wa kumpata Mgombea Urais CCM ulikuwa batili! Lowassa si fisadi kama inavyodhaniwa

    Mnao mdharau Mzee Kingunge hamjui kitu na mpo kama bendera fuata upepo! Kingunge ni mzee makini sana na mnaofurahia jambo hili mtakuja jutia siku moja!
  6. L

    Lowassa: Hakuna kitu nilichofanya bila Kikwete Kujua

    Nenda kalale ww! kama boss ni mwizi asisemwe?
  7. L

    Lowassa: Hakuna kitu nilichofanya bila Kikwete Kujua

    Anaye bisha bisha kwamba EL hakuyasema maneno hayo ni mbumbumbu na hapaswi kuwepo humu Janvini! Msipende pelekwa kama makapi! EL aliyasema hayo ktk vikao vyao!
  8. L

    Siri nzito zilizovuja kutoka Team Lowasa hizi hapa

    Hizo ni siri za baba yako! Lowassa wa watu katulia tu! Wengine mnajigongagonga tu!
  9. L

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa kuzingatia Msingi wa Umoja

    Asante Mzee Warioba kwa kuliona hilo na Mwalimu alisema"Upinzani wa kweli, utatokea pale CCM itakapo katika vipande viwili na sasa wakati umewadia!"
  10. L

    Je, Mafuta na gesi ndio muarobaini wa kutupeleka uchumi wa kati?

    Hongera sana kwa kulitambua hilo! Wakulaumiwa ni ss wenyewe ambao tuliwachagua!
  11. L

    Kama Lowassa ni fisadi, Rais Kikwete tamka hadharani

    Kiroso, wewe unajua namna ya kupambanua mambo; Tatizo wabongo huwa wakisikia jambo hata hawalifanyii kazi ni kama bendera fuata upepo. Hata Mh. Sophia Simba aliwahi sema"Ndani ya CCM hamna mtu msafi"
  12. L

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    Usemalo hulijui! Hati ya dharula yamekuwa majanga? Acheni ujinga nyie! Wapinzani wapo sahihi sana na Maccm mmeprove failure! Mlitakiwa muwashindwe kwa hoja na siyo jazba! Poleni sana MaCCM! Hiyo imekula kwenu!!
  13. L

    Mkanganyiko kuhusu kashfa ya Richmond

    Tatizo humu ndani mpo kivyama zaidi! Mimi ktk kumbukumbu zangu, wakati EL anasema amenewa na nitatizo ni Uwaziri Mkuu! Kamati teule ilisema hii"kama huliziki basi tuliombe Bunge litengue kifungu fulani halafu mjadala uanze upya na ukiamza upya tutafika hadi juu!". Msifikirie EL hana akili...
  14. L

    Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

    Nyie wawapi? Mtambue kwamba, Wabunge ambao wanaichachafya serikali ndani ya Bunge hawapelekewi maendeleo kwenye majimbo yao ili ionakane hawafanyi kazi na uchaguzi ukija wananchi wakate tamaa ya kuto mchagua tena! Jimbo la Ubungo mchagueni tena Mnyika!
Back
Top Bottom