Ukiwa CCM unakuwa fisadi ukiwa CHADEMA Msafi upinzani

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Hili wimbi la kumshawishi Lowassa ambaye walimuita fisadi aje CHADEMA sielewi! KWA kifupi tu nimechanganyikiwa nataka ushauri wenu! Sipendi kuitwa fisadi kwa kijani changu huku hata miamoja siwahi kula kazi kubwa naifanya kutekeleza ahadi zangu tu
 
Lowassa alikubali kutukanwa kuzarauliwa kwa ajili ya ccm lakini ukweli sio fisadi ila kwa ajili ya kumlinda JK.
 
Kama alikubali basi aendelee tu kukubali hana sababu ya kukataa kwa kipindi hiki na atakuwa bonge la mnafiki..
 
Hili wimbi la kumshawishi Lowassa ambaye walimuita fisadi aje CHADEMA sielewi! KWA kifupi tu nimechanganyikiwa nataka ushauri wenu! Sipendi kuitwa fisadi kwa kijani changu huku hata miamoja siwahi kula kazi kubwa naifanya kutekeleza ahadi zangu tu
Ukiishi na majizi nawe utakuwa jizi tu. Toka kwa majizi na utubu dhambi nawe utatakaswa.
 
Hili wimbi la kumshawishi Lowassa ambaye walimuita fisadi aje CHADEMA sielewi! KWA kifupi tu nimechanganyikiwa nataka ushauri wenu! Sipendi kuitwa fisadi kwa kijani changu huku hata miamoja siwahi kula kazi kubwa naifanya kutekeleza ahadi zangu tu

Nyie ni wahuni tu. Mbona inaonekana mnajihami zaidi mkisikia Lowassa anahamia upinzani? Sasa nyinyi mmemkata mnadhani hana haki ya kutafuta jukwaa jingine la kufanyia siasa? Subirini sindano iwaingie vizuri
 
Hilo nalo jambo!! Ni kweli kabisa, waliomkata hawakuyafikiria hayo yote; Kama kweli atahamia upinzani ni Watanzania watafanya kama walivyo fanya wakenya! pamoja na kumchafua Uhuru na bado walimchagua kuwa rais wao na leo anaonekana rais bora!
 
Nyie ni wahuni tu. Mbona inaonekana mnajihami zaidi mkisikia Lowassa anahamia upinzani? Sasa nyinyi mmemkata mnadhani hana haki ya kutafuta jukwaa jingine la kufanyia siasa? Subirini sindano iwaingie vizuri

Hapana waliomchafua zaidi ni CHADEMA sasa wanaomsafisha ni CHADEMA lol!
 
Sio kweli hilo unalosema. Lete ushahidi tuone ni wapi CHADEMA wamemsafisha Lowassa. Nyinyi mnachofanya mnajitekenya na kucheka wenyewe. Hizo ni propaganda tu. Mimi nadhani ni vizuri mkaacha mzee wa watu apumzike. Mliyomlipa yanatosha. Na hata km ingekuwa kweli unayosema, siasa ni dynamic sana. Sioni kosa lolote la CHADEMA hapo. Mbona Kikwete na Lowassa walikuwa ni marafiki sana huko nyuma, na ndiye aliyemsupport Kikwete kuingia madarakani. Leo hii aliyemchinja rafiki yake wa zamani si Kikwete mwenyewe? Sasa imegundulika kuwa hawa jamaa si marafiki tena. Mbona hayo hamyasemi?
 
Hakatazwikua mwanachama ila asiombe kugombea au afunguke ukweli wa yote yanayofanyika
 
fundamental ya chadema ni tofauti kabisa na ccm na wala hakuna official report kutoka chadema au ukawa kuwa lowassa ni mgombea au mwanachama wa chadema hizi zote ni gossip tu toka mwaka 1961 ccm ndo wenye dhamana ya kukusanya kodi na kukopa mikopo au kuomba fedha kwa wafadhili si chadema na katika ufisadi wote unaotokea nchini kuanzia EPA mpaka ESCROW wote ni ccm cjawai kumsikia kada wa chadema au cuf ,nccr mageuzi bt ni makada wa ccm na wafanya biashara au wanaofadhili wagombea wa ccm na ccm kinachosumbua ni mfumo wake si mtu kawaida system no inamwongoza mtu kufikia sehem so kwa system ya ccm hata ukimweka padre au shehe lazima atakuwa mwizi tu sisi atupingani na ccm coz ccm ni bland 2 kama ilivyo voda au tigo au coco cola bt tunachopingana nacho ni product yake ndo mbaya kwa watumiaji
 
Kwani kuna shida gani kwa mkristo kuslimu au mwislamu kuokoka. Cha msingi akubali kujifunza maadili ya ujiungako.
 
Bac vyama vyote vya Tanzania ni upumbavu chadema walituambia mafisadi wote na lowassa alikuwa first name Leo vp tena tutaamini kweli sera zao kweli?c awe mwanachama wakawaida kwnz tumfunde si moja kwa moja
 
Nyie ni wahuni tu. Mbona inaonekana mnajihami zaidi mkisikia Lowassa anahamia upinzani? Sasa nyinyi mmemkata mnadhani hana haki ya kutafuta jukwaa jingine la kufanyia siasa? Subirini sindano iwaingie vizuri

Hawezi kwenda upinzani huyo ndo kwishiney. Pole yake
 
Mleta mada hauko sahihi,
Ila ninachofahamu tu ukiwa SISIEM ni lazima ujitoe ufahamu
SINA IMANI NA UKAWA
 
Lowassa alikubali kutukanwa kuzarauliwa kwa ajili ya ccm lakini ukweli sio fisadi ila kwa ajili ya kumlinda JK.

Duh ungejua Lowassa ni mwizi. Ushahidi angalia alivyoiba hela za ofisi ya Mbunge Monduli. Lowassa hasafishiki, bora ukae kimya tu hata kama ni mmasai mwenzio
 
Back
Top Bottom