Yan hakuna kitu kinakupa ukomavu kama kuanzia chin biashara huwa inakuwa ila ukihitaj mafanikio ya haraka bas kila kaz utaona mbaya subra na uvumilivu vinahitajika ili uwe na mafanikio kubal kuanza chin
Unapoamka, ukashinda salama na
Ukalala na kuamka tena huku ukiwa
Mzima ni jambo la kumshukuru Mungu sana.
Leo ni mara yangu ya 5 kushuudia kwa macho yangu ajali ya bodaboda, leo bodaboda kamgonga mama mtu mzima kwa bahati mbaya bodaboda kakata moto pale pale baada ya kujibamiza kwenye kingo za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.