Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Kama hujawai kufanya mapenzi unawezaje kujua huna nguvu za kiume wakuu maana Kila nikiamka mashine haisimami Kama ninavyosikia watu wanasema ukitoka kuamka lazima usimamishe 5G+
Kuna tatizo mkuu,
Mwanaume lazima usimame asbh unapoamka,

Hii hata watoto wadogo wasokua hata na mawazo ya kusex huwatokea.

Hiki ndo kipimo mababu zetu walitumia kupima urijali wa watoto wao tangu wakiwa wadogo.

Hebu lifanyie uchunguzi ilo mkuu
 
Msaada wakuu tafadhali, ni miezi nane sasa toka nimekumbwa na hili tatizo la uume kusimama legelege na hata ikitokea umesimama vizuri haizidi dakika moja unakuwa umelala au sometimes wakati wa maandalizi unasimama ila ukitaka kuingiza unalala au unakuwa umesimama kidogo wakati wa maandalizi hii hali imenitesa sana kwa kweli sana yani na ilianza kuwa hivi baada ya kutumia vicks ili kuchelewa kidogo kufika mshindo kumbe ndio nilikuwa naharibu kabisa, nilijaribu kutumia zile bidhaa za forever living products zilinisaidia kwa miezi miwili tu tatizo likarudi tena,, nikajaribu michanganyiko ya asali vitunguu saumu na tangawizi vikasaidia kidogo ila wapi ,, juzi kati nilienda hospitali wakanipima testosterone level, magonjwa ya zina na sperm analysis wakaniambia nipo sawa wakaniambia shida ni saikolojia lakini nikamwambia doctor tatizo lilianza baada ya kutumia vicks lakini wakaegemea kwenye hivyo vipimo akaniandikia dawa ya amitriptyline kwa ajili ya msongo wa mawazo na natural vitamin E lakini sikutumia kutokana na side effects zake,, wakuu mwenye ushauri au kujua suluhisho naomba anisaidie natangulisha shukrani
 
😆😆 I know what you are feeling,hiyo hali yako imeshawahi kunitokea tena afadhali wewe mimi hali ilikuwa mbaya zaidi na hivi nilikuwa napiga sana punyeto bhasi kila nikipita nakutana na madhara ya punyeto bhasi akili ndio inavurugika zaidi.
Nimetumia dawa nyingi sanasupplements za kila aina,miti shamba ya kila aina lakini sikupata hata nafuu kipindi iko nilikuwa nipo medical school,mficha maradhi kifo umuumbua nikaonana na Dr mmoja ambaye ni mwalimu wangu nikamwambia mkasa wangu akaniambia nikacheki RBG,BP, Testosterone level majibu ya vipimo yalikuwa vizuri sina tatizo lolote akaniambia shida sio punyeto wala nini shida sijiamini nina msongo wa mawazo saikolojia yangu haipo vzr.
Alinipa dawa (Viagra) aina ya Cialis tadalafil 40mg aliniambia nitumie halafu nipige show wiki nzima ,kweli nikapiga show wiki nzima akaniambia nipumzike wiki mbili baadae akanipa tena vidonge nikatumia ni miaka 7 mpaka sasa sijawahi kuwa na upungufu wa nguvu za kiume kilichokuwa kinanisumbua ni hofu kutokujiamini,sio vidoge ndio vilivyoniponesha shida yangu bali vilinipa hali ya kujiamini dhidi ya hofu.wewe hauna tatizo ila hofu ndio imekutawala ubongoni

NB:hivyo vidoge usitumie bila ushauri wa Daktari
 
I know what you are feeling,hiyo hali yako imeshawahi kunitokea tena afadhali wewe mimi hali ilikuwa mbaya zaidi na hivi nilikuwa napiga sana punyeto bhasi kila nikipita nakutana na madhara ya punyeto bhasi akili ndio inavurugika zaidi.
Nimetumia dawa nyingi sanasupplements za kila aina,miti shamba ya kila aina lakini sikupata hata nafuu kipindi iko nilikuwa nipo medical school,mficha maradhi kifo umuumbua nikaonana na Dr mmoja ambaye ni mwalimu wangu nikamwambia mkasa wangu akaniambia nikacheki RBG,BP, Testosterone level majibu ya vipimo yalikuwa vizuri sina tatizo lolote akaniambia shida sio punyeto wala nini shida sijiamini nina msongo wa mawazo saikolojia yangu haipo vzr.
Alinipa dawa (Viagra) aina ya Cialis tadalafil 40mg aliniambia nitumie halafu nipige show wiki nzima ,kweli nikapiga show wiki nzima akaniambia nipumzike wiki mbili baadae akanipa tena vidonge nikatumia ni miaka 7 mpaka sasa sijawahi kuwa na upungufu wa nguvu za kiume kilichokuwa kinanisumbua ni hofu kutokujiamini,sio vidoge ndio vilivyoniponesha shida yangu bali vilinipa hali ya kujiamini dhidi ya hofu.wewe hauna tatizo ila hofu ndio imekutawala ubongoni

NB:hivyo vidoge usitumie bila ushauri wa Daktari
Kama unaweza simamisha mashine bila shida

Na akipita mwanamke mwenye msambwanda mkubwa mbele yako unasimamisha wewe hutakuwa huna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Tatizo lako kujiamini tu.

Piga gemu mfululizo ku trigger confidence yako

Tuchukulia mbususu kitu cha kawaida unachokipeleka na kukiamuru unavyotaka (wanawake mtanisamehe).
 
Umekosea kuni quote
 
NGUVU ZA KIUME DAWA IPO SASA
Tembelea KIZUMANGO HERBs CARE ukomboe Afya yako, Tunapatikana MANZESE MKUNGUNI STREETs ndani ya DAR:

JIPATIE POWER RIJAR (NGUVU ZA KIUME) LEO KWA 35000TSH KWA DOZI KAMILI YA CHUPA MBILI

POWER RIJAR ni ya milele-sio kwa siku moja tu. Kwa Upendo, Ushirikiano, na kazi imara kitandani.
USIKU mwema kwa watumiaji wetu wote wa POWER RIJAR.

Jipatie leo POWER RIJAR kwa 35000tsh Tu Dozi kamili ya ujazo wa 500ml

MATUMIZI YA POWER RIJAR :

Tumia kijiko cha chakula 1 X 2 kwa siku
(KABLA YA KULA CHOCHOTE TULIA DAKIKA 10-15)
Huchanganyi na chochote unatumia kama iliyo
Dozi ni siku 15 Tu (inategemea na ukubwa wa tatizo)
Matokeo yanaweza kuwa haraka au mpaka mwisho wa dozi kutegemea na Hormonal reaction
Tingisha Chupa ya dawa vizuri kabla ya kutumia

#NB: Kama umekunywa POWER RIJAR saa 1:00am asubuhi hakikisha unakunywa POWER RIJAR saa 1:00 pm usiku
Gharama ya POWER RIJAR ni nafuu sana
Dozi ni 35000TSH TU
Manzese mkunguni street: DAR

#migogorohakuna
#powerrijarmwanaume
#mwanaumekamili
#Powerrijarmkombozi
#rahamustarehee
Screenshot_20220325-174249_1.jpg
 
#rahamustareheeView attachment 2175967
Biashara tu hizi, hakuna mitishamba yoyote inayotibu hili Tatizo. Narudia tena, HAKUNA!
Zote hizo ni Boosters tu
 
Mwanamke mzuri na sexy ndio nguvu za kiume jameni. Yaani ukipiga bao demu lisi kali unaweza kaa ata wiki mbili huitaji mbususu
 
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI NINI?

1. Ni kukoswa hamu ya tendo la ndoa.

2. Ni kushindwa kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa.

3. Ni kuwahi kufika kileleni muda mchache tu baada ya kuanza kufanya tendo la ndoa.

4. Kushindwa kurudia tendo la ndoa mara baada ya kufika kileleni.

Mtu aliye na matatizo hayo yaliyoainishwa hapo juu, ndiye mhusika wa tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume.

Dalili nyingine za mtu aliye na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume;

1.Kama unakosa hamu ya tendo la ndoa, una matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume.

2.Kama uume wako hausimami vizuri na kukaza wakati wa tendo la ndoa, una upungufu wa nguvu za kiume.

3.Kama uume wako unasimama na kulegea muda mfupi baada ya kuanza tendo la ndoa, una upungufu wa nguvu za kiume.

Moja ya sababu inayopelekea upungufu wa nguvu za kiume ni kutokupata chakula ama lishe ya kujenga afya ya uzazi. Kumbuka kuwa mwili hujengwa kwa lishe bora na sahihi kwa kila mfumo wa mwili, maana yake kila mfumo wa mwili una chakula chake husika. Kuna chakula cha ngozi, chakula cha ubongo, chakula cha macho, chakula cha mifupa nk.

Watu wengi hutenga mezani chakula, wakila, kushiba na kuondoka mezani wakiamini kuwa wamekula chakula sahihi, kumbe viungo vingine vya mwili vinalia na kuomboleza kuwa vimelala njaa. Hivyo madhara unayoweza kuyapata ni kiungo husika kushindwa kufanya kazi yake kwa sababu kina utapiamlo.

Hapa chini nataka nikuonyeshe japo kidogo chakula cha afya ya viungo vya uzazi kwa mwanaume. Jiulize binafsi ni lini umewahi kula chakula hicho?

Mchanganyo wa almond, zabibu kavu, karanga, asali mbichi ya nyuki ama asali ya tende. Mlo sahihi wa chakula hiki ni kuliwa kuanzia muda wa saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni. Mchanganyo huo wa chakula huliwa sambamba na chai ya rozela iliyotiwa asali mbichi au tumia chai ya tangawizi na mdalasini iliyotiwa asali mbichi.

Chakula hiki kina madini ya zinc ambayo ndiyo hitaji kubwa katika afya ya uzazi. Chai hizi husaidia mwendo mzuri wa damu ili kufanya mishipa ya moyo ipate damu ya kutosha katika mishipa ya uume na hivyo kufanya maumbile kusimama vizuri wakati wa tendo la ndoa.

Kumbuka ili uume usimame vizuri na imara wakati wa tendo la ndoa huhitaji wingi wa damu,maumbile yanaposhindwa kupata damu ya kutosha husababisha hali ya kulegea wakati wa tendo la ndoa na hivyo kuwahi kufika kileleni mapema.

UWE NA SIKU NJEMA!
 
Back
Top Bottom