Recent content by lilian

  1. L

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Mbona hiyo video haionyesh kama vile alikuwa kalewa? Au watu wengne wsligunduaje kalewa@msarendo
  2. L

    Yupo wapi Makongoro Nyerere kada wa CCM?

    Hawa watu wa Musoma ni wahuni sana ndiyo maana wanaoa wanawake wawil na kuendelea.Ni wapuuz sana
  3. L

    Kulikuwa na sababu Magufuli kutoa amri kwa Mawaziri wake mbele ya Vyombo vya Habari?

    Jamani mbona sion kosa la rais kusema hivyo? Mbons mnactisize mambo madogo hivyo? Bila shaka mleta mada hii ni UKAWA!
  4. L

    Serikali yaanza kuwafilisi Wenye makontena waliokwepa kulipia kodi

    Mama wa kichaga yupi? Si umseme tu? Hapa ni ukweli na uwazi.
  5. L

    Serikali yaanza kuwafilisi Wenye makontena waliokwepa kulipia kodi

    Hata mimi nimeshangaa kwa hilo.
  6. L

    Kikwete: Waliokihujumu chama Uchaguzi Mkuu 2015 watakiona, majina yao ninayo

    Hahaaa...yeye ni bora akae kimya tu. Hv haoni aibu kuongea ongea? Woooi!
  7. L

    Mawaziri kufanyiwa semina Ikulu, Dar kesho - Februari 25

    Utendaji mzur tunautaka lakin siyo kumvunjia mtumish heshima kama kairuki akivyofanya kwa huyu mkuu wa chuo.
  8. L

    Mawaziri kufanyiwa semina Ikulu, Dar kesho - Februari 25

    Bora wakaelimishwe maana wamezdisha sifa sasa.
  9. L

    Kutumbua majipu sawa, lakini hili la Mh Kairuki si sawa

    Kwa mtazamo wangu naona hao wote waliotimuliwa bila kupewa muda wa kujieleza wakiamua kuungana na kurejea sheria ya kaz ni kwamba serikal inaweza kuingia hasara kwa kufidia watu.Kwanza hata katibu mkuu wa wizara yoyote hawez kumfukuza mtumish hivi hivi bila kufata sheria.Huyu mama Kairuki...
  10. L

    Hii Imakaaje? Maalimu Seif kaenda Uingereza!

    Hahahaaa...PMM umenichekesha!
Back
Top Bottom