Recent content by lilian mapembe

  1. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

    Siku zote mwanadamu huona ya mwilini ni Mungu pekee huutazama moyo. Mmemwita kila aina ya majina, mmemtukana kila aina ya matusi lakini baba wa watu hakujibu kitu chochote Mara ooh fisadi kikowapi mmnaumbuka mmoja baada ya mwingine. SASA MUNGU AMEAMUA KUWEKA WAZI EDWARD NDIO MLINZI WA AMANI...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kampeni wa CCM kwa mwaka 2015 ulipitiwa kwa makini kabla ya kupata baraka za chama?

    Mbona chama cha magufuli ndio wanaisoma
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Acha ujinga hivi aliyofanya Makonda wewe unayaona mazuri
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tuliomkataa Lowassa, Makuwadi wa Mabadiliko "Yale" na Waliojipanga Nyuma Kosa Letu Nini?

    Hivi haya masinema anayocheza Magufuli wewe ndio unaona mabadiliko? Subiri watakapoachiwa na kufutiwa mashtaka maafsa wa TRA NA TPA ndio utajua haya ni masinema
  5. L

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anatumia muda mwingi kuijenga CCM kuliko hata kukijenga chama chake

    Zitto yupo kimaslahi zaidi yeye yupo tayari kuangamiza hata ndg zake ili mradi akihakikishiwa kama atapata chapuo si umeona alivyoiuza Kigoma? HUYO NI MSAKA TONGE AMESHA POTEZA MWELEKEO
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ikiwa ukali wa Mbwa unatokana na mwenye Mbwa, basi Hosea kaonewa

    Hosea ameonewa mbona Sospeter Muhongo amerudi kwenye wizara ileile na alie ibua sakata la Escrow ametoswa ubunge hii ni aibu kwa Taifa
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ameri Nkurlu wa CHADEMA ashinda udiwani akiwa Gerezani

    Aibu yao
  8. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Tarime wavurugwa na Mbowe

    Sidhani wala sifikirii kama itakuwa kweli maana Mbowe hawezi kuwapangia ila huyo mleta mada ni mamluki
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ester Matiko ashindwa nguvu na madiwani wake

    Acha umbea wewe mfuasi wa ccm kama na wewe jipu limeiva subiri zamu yako ifike Ukawa wakutumbue
  10. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Majaliwa akutana faragha na Mzee Warioba

    Mmh Makonda
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni aibu sana kuishabikia CHADEMA siku hizi?

    Labda wewe ndo unaichukia coz wewe ni kibaraka wa ccm
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Sasa amteue MTU mwaminifu na mtiifu atakae Fanya kweli siyo blabla kama za Jk
  13. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuzunguka nchi nzima kuanzia kesho

    Hakika wewe ni raisi wetu wa halali Mungu akupe uzima, nguvu na afya njema pia akuongoze katika safari yako.
  14. L

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mwanza Charles Mkumbo, apandishwa cheo

    Hiyo ndo ccm ni ile ile unadhani mkumbo alipata wapi nguvu ya kufanya Yale aliyoyafanya kwa marehemu Alphonse Nawazo. Jibu unalo sasa kwa hali hii kwanini asipandishwe cheo
  15. L

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Asiwasahau Samwel Sitta na Harrison Mwakyembe maana hao nao walikuwa mawaziri wakati hayo madudu yanafanyika vinginevyo itakuwa ni MASINEMA TU.
Back
Top Bottom