Kama ni changamoto ni mama yake basi unaweza mkaongea mkayamaliza ya naweza kana ila jua kua kuna mapenzi na upendo unaweza ukamchukua na kumuona kwa sababu ya mapenzi and then yakaja kuisha. Na mkaachana na pia kama una upendo ni her pia
Sent using Jamii Forums mobile app
To be honest naweza kukwambia kwamba uusikilize moyo wako unataka nini kwa uyo dada na pia mshirikishe sana Mungu katika kila stege unayopitia. Inawezekana uyo akawa mke wako au la. All the best
Dada kwa ushauri tu siku zote mwanamke ndio anajishusha kwa mwanaume. Na hata kama mwanaume amekukosea kwa mwanaume ni vigumu sana kujishusha. Kwa hali uliyonayo utabidi ubadilike cause ukiendelea ivyo utaishia kuachwa kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.