Recent content by lil grray

  1. L

    JamiiForums Tanzania shamba linauzwa vikindu

    Ndio mkuu na maongezi yapo pia
  2. L

    JamiiForums Tanzania shamba linauzwa vikindu

    Maongezi yapo pia
  3. L

    JamiiForums Tanzania shamba linauzwa vikindu

    Nauza shamba langu lina ukubwa wa eka 2 liko vikindu- Malogoro njia ya kuelekea Tundwi songani, linafaa kwa kilimo cha mbogamboga(matikiti, matango, nyanya chungu, bamia nk, pia lina eneo ukitaka kufuga samaki. Liko barabara ya pili kutoka barabara ya Tundwisongani. Bei m.10. Mawasiliano 0684 864864
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba la kukodi kwa kilimo cha mboga mboga

    Mpendwa shamba hilo unahitaji lazima liwe iringa tu. Mimj ninalo dar na lina maji mwaka mzima maji yapo hspo hapo
  5. L

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa mkuranga

    lipo barabara ya pili kutoka barabara ya kwenda tundwi songani na gari inafika hapo shambani. bei ya mwisho kabisa nafikiri ukifika na kuliona tutaelewana tu usiwe na shaka
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kumweka mmeo kiganjani kabaaaaang

    hiyo nzuri ila na mwanaume pia ajue kumuweka mwanamke kiganjani. kwani akimtimizia haja zake kitandani wallah mwanamke haendi nje ya ndoa. kwani wanaume wengi huwa wanahema tu kwa wanawake wakishakizi haja. Wanawake tunahitaji haki zetuu. Raha babu tule sote
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nimpe jibu gani?

    Je, aliolala nao kesha kwambia? mwongo huyo hana lolote huenda anajitongozesha kwa wanaume na hana soko, asikupe presha mshamba
  8. L

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa mkuranga

    Shamba lenye ukubwa wa eka 2 linauzwa Wilaya ya Mkuranga lipo Vikindu Malogoro linafaa kwa kilimo cha mbogamboga (matango,Matikiti maji, Nyanya chungu, Bamia N.k ) Pia unaweza kufuga samaki lina maji ya kumwagilia mwaka mzima. Bei Sh. 15,000,000 na mazungumzo yapo. Kwa masiliano piga simu no...
Back
Top Bottom