Shamba lenye ukubwa wa eka 2 linauzwa Wilaya ya Mkuranga lipo Vikindu Malogoro linafaa kwa kilimo cha mbogamboga (matango,Matikiti maji, Nyanya chungu, Bamia N.k ) Pia unaweza kufuga samaki lina maji ya kumwagilia mwaka mzima. Bei Sh. 15,000,000 na mazungumzo yapo. Kwa masiliano piga simu no. 0713-864 864/ 0684-864 864