Nauza shamba langu lina ukubwa wa eka 2 liko vikindu- Malogoro njia ya kuelekea Tundwi songani, linafaa kwa kilimo cha mbogamboga(matikiti, matango, nyanya chungu, bamia nk, pia lina eneo ukitaka kufuga samaki. Liko barabara ya pili kutoka barabara ya Tundwisongani. Bei m.10. Mawasiliano 0684 864864