Recent content by LIKUYU SEKA

  1. L

    Hotuba ya Rais kikwete

    ·- HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KATIKA IBADA YA MAADHIMISHO YA JUBILEE YA MIAKA 125 YA INJILI YA KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI MBUYUKENDA, TANGA TAREHE 05 JULAI, 2015 Mheshimiwa Baba Askofu, Dkt. Stephen Munga, Mkuu wa KKKT Dayosisi...
  2. L

    Matajiri malizeni mgomo wa madereva

    Ni wasaa mwingine watanzania wenzangu tukibadulishana mawazo katika mtandao huu adhimu kwa mada motomoto, natumai mungu amewajalia heri katika shughuli zenu za kila siku. Wote ni mashihidi kuwa katika kipindi cha mwezi wa nne na wa tano tumeshuhudia mgomo wa madereva wa mabasi ya abiria pamoja...
  3. L

    Matajiri malizeni mgomo Wa Madereva

    Ni wasaa mwingine watanzania wenzangu tukibadulishana mawazo katika mtandao huu adhimu kwa mada motomoto,natumai mungu amewajalia heri katika shughuli zenu za kila siku .. Wote ni mashihidi kuwa katika kipindi cha mwezi Wa nne na Wa tano tumeshuhudia mgomo Wa madereva Wa mabasi ya abiria,pamoja...
  4. L

    Urais Umepamba Moto

    "Uhuru wa kujituma ni muhimu sana kwa kila mtu. Siyo mtu anataka kuuza njugu wewe unamwambia huna leseni. Unamuuliza leseni kwani anataka kuendesha gari? Mtu akitaka kuendesha gari ndiyo mdai leseni, lakini siyo kuuza njugu lazima watu wapewe uhuru wa kujituma," anasema Balozi Karume...
  5. L

    Wagombea CCM wamwaga fedha kama njugu

    Suzan lema acha uongooo.... Makongoro hatoi posho kwa wanaomdhamini ..makongoro hata anapopita halipi waandishii.. Na January Makamba bado hajaanza kuzunguka .. Jaman uongo haufai
  6. L

    Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

    Ajitoe tu maana anpoteza muda
  7. L

    Vijana NCCR - Mageuzi, hatushiriki UKAWA bila kuondosha haya

    We mtoa hoja umedataa...toa porojo
  8. L

    Kauli ya Mwl. Nyerere ilishafuta ndoto za kisiasa za Edward Lowassa!

    Lowassa hatufaiii....hata kidogo
  9. L

    Mwandosya aweka ukweli mezani kuhusu hujuma za Lowassa na Apson Mwang’onda

    Mwandosya yupo sahihi katika hilo ...kwenye nchi za wenzetu ukiwa idara nyeti kama hiyo ya Mzee Apson hata kama umestaafu hushiriki siasa ....
  10. L

    Mambo muhimu kuhusu kujiandikisha

    Joseph mshinga tumemaliza na sasa tunauza ufuta mkuu
  11. L

    Kwanini Lowassa hakuruhusu maswali kama Wassira na Mwigulu?

    Safari ya matumaini imepigwa tochi na Richmond
  12. L

    Mambo muhimu kuhusu kujiandikisha

    Habari watanzania wenzangu natumai tumeianza wiki vyema,kwa wale wagonjwa nawapa pole mungu awaponye na wenye matatizo pia mungu awape njia ya kutatua matatizo yao. Ndugu zangu sote tunajua kuwa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu ikiwa ni sambamba na zoezi la uandikishaji...
  13. L

    Lowassa kurudi Monduli akikosa Urais?

    Fisadi huyo atarudi kwao
  14. L

    Lowassa anaweweseka tu

    Mwalla hujaelewa nn hapo
  15. L

    Mama Naomi Sijaona, njoo chukua jimbo hili la Namtumbo

    Kwa namtumbo hakuna upinzani unaoweza kushinda,cuf haina nguvu sana na pia mama sijaona katika wagombea 17 yy ni miongoni mwa wagombea wasio na nguvu ...anayemkaribia vita kidogo ni Edwin ngonyani huyu ni Mhandisi Wa madini
Back
Top Bottom