Recent content by likilaza la dmi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    nashukuru kwa ushauri wako tatizo lina wiki tatu sasa nitamwona daktari kwan hata mim natumia bima
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    ahsante sana kwa ushaur wako
  3. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ugonjwa wa Mdudu wa kidole

    Usichovye kwenye lile eneo ulilochanja tu yan kucha yote na sehem ya juu kidogo ya kucha ipate maj hayo ya betri utahis maumiv pale ulipojichanja ila patatulia na usikioshe mpaka kikauke chenyewe kabsa haichukui masaa matano we acha tu dam igandie pale cha muhim n maj ya betri kumchoma mdudu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ugonjwa wa Mdudu wa kidole

    Chukua kiwembe alaf chanja lile eneo lenye uvimbe kidogo dam itatoka then chovya kidole kwenye maji ya betri ya gar mara moja tu alafu toa hapo umepona. Kitakauka chenyewe hamna hata kukamua usaha, huwez amini lakin nilishauriwa hivyo nikafuata ilichukua siku mbil tu kidole kimepona.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    ndugu jf doctor nina tatizo, mguu wangu wa kushoto ganzi inanisumbua, kuunyanyua na kutembea naweza ila nasikia ganzi, nikilala ndo nasikia maumiv yan hiyo ganzi yenyewe na nikiwa natembea kuifeel ile ganzi kunapungua ila nikisimama au kukaa naisikia lakin kwenye mguu wa kulia niko poa ni huu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Online radio

    had chanel za marekan naweza kuzipata nikitumia hyo tunein mfano kiss fm yenye countdown za at40?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kwa hii simu Huawei y530

    hiz sim za huawei y530 memory anayoachiwa mtumiaji n kma 1.8 gb sasa hzo application znazokuja kwenye sim zpo ambazo znachukua sehem kubwa ya memory kma utaziapdate au kuztumia, kama chrome browser heb uniinstal updates kwenye hiyo mm hyo ndo ilikuw inazngua, kuna baadh ya app znatumia nafas...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tecno H6 inaninyima usingizi

    tecno cio cim, mzgo huawei y530 bei the same na tecno h6 ila inafunction fresh, spec za tecno h6 zko fresh ila sim cyo imara developers waliifanya iwe nyepes kiuzto kwa kuweka vfaa simple simple, kisim chepes bt vulnerable
  9. L

    JamiiForums Tanzania Msaada Huawei Y530 unlocking code

    hapo unaunlock ili kutumia lain zote, mi nna hyo hyo y530 inatumia lain zote ila n telstra branded nataka kuiroot cjui procedure anayejua anambie
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutuma SMS kwenye Huawei Ascend g510 naomba msaada

    itakuwa n baadhi ya apps ulizoweka recently kwan hlo tatizo limeanza toka uliponunua hiyo sim?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Enjoy 3g internet kwenye eneo lenye 2g

    imeonyeshs RH kabisa
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nashindwa ku-intall UCBrowser kwenye Huawei y530 naomba msaada

    Mim ni mmoja wa watumiaji wazuri wa hii sim ila yangu n tofauti kidogo, iko telstra branded kitu kinachonikera ni pale ninapojaribu kuinstall uc browser for android inagoma(haiinstall) inasema your phone doesnt support live walpaper, kwa yeyote anayetumia sim kama hii naomba ajaribu kutest...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nitagunduaje kama Simu ya Huawei imeflashiwa ?

    nitaijuaje
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kudownload series ya Arrow season 3

    tumia o2tvseries.com
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nitagunduaje kama Simu ya Huawei imeflashiwa ?

    Mtu unaweza kununua simu hujui yawezekana labda iliflashiwa itumie lain zote tofauti na mwanzo kama tunavyozijua simu za Tigo, sa n vitu gan vitanisaidia kujua kama simu(smartphone) imeflashiwa au la, anayejua huu ndo wakt
Back
Top Bottom