Ziro asitudanganye.Alijimilikisha mashamba kwenye maeneo tofauti nchini akiwa madarakani.Anazidisha uongo anaposema amenunua kwa kiinua mgongo.Tunamshukuru kwa kutujulisha kumbe kiinua mgongo huwa kinatolewa hata mtu akiwa bado yupo madarakani
Toa uzushi hapa.Ofisi za Cuf zipo buguruni nyuma ya soko jirani na stendi ya mabasi ya uzaramoni au mgongoni mwa Exim Bank tawi la buguruni.Sasa kuna kituo cha mafuta pale?.Hicho kituo ni kile cha buguruni Chama yalipo makutano ya Uhuru na Mandela Road na ni karibu mita 400 kutoka ofisi za...
Miezi miwili iliyopita sumaye alitwambia Lowassa ni fisadi na akipitishwa na ccm kugombea urais yeye atahama chama.Nasubiri atuambie ufisadi wa Lowassa umeishaje mpk kufikia hatua ya kumtakasa.Ukanda na Maslahi binafsi vinahusika sana hapa.Siasa za maigizo mwisho Oct 25
Ewe mungu tunusuru sisi watanzania ili tusiuziwe mbuzi kwenye gunia.Wenye nia ovu uwafichue mioyoni na machoni mwetu kabla ya uchaguzi ili tukafanye maamuzi makini
Ccm ni chama makini,kilichojaa ustaarabu sambamba na kujali makundi yote likiwemo Walemavu kwa kuzingatia haki zao na usawa.Inataka watu wa mbele wakae chini kuwe na utulivu ili wasikilize sera vizuri.Siyo kujazana mbele kushangilia hovyo hovyo.
Tusimlaumu.Maigizo ni fani yake aliyoisomea na kuhitimu.Ni mmoja kati ya watz wachache wa kwanza nchini kupata shahada ya maigizo alipohitimu miaka hiyo ya 70.Acha aendeleze ngonjera
Jamaa anaendeleza siasa za fani aliyoisomea ya maigizo.Ujana kamalizia kwenye ma-vx leo kutaka urais ndo anajifanya kupanda daladala.Mbona alipokuwa waziri mkuu hatukumuona kufanya hayo kama kweli anaguswa na kero za wananchi?.Tulimshuhudia Magufuli wakati daraja la kilosa limekatika alienda...
Uko sawa sana.Siku hizi yanadoda hakuna wa kununua.Mawio linachina kwa wauza magazeti mpaka Jumapili unalikuta.Watanzania wamegundua kumbe hawa nao ni mafisadi tu sema hawajapata fursa.Tena ni wanafiki na wana mambo ya ukanda.Chuki binafsi na wivu wa kike vinawasumbua
Tusikurupukie mambo kishabiki tu.Kulikuwa na hoja ya msingi mpk Kinana kufika huko na aliyasema hayo baada ya kuulizwa na Tido kwamba kuna maneno yanasemwa na wanaojiengua ccm kwamba mchakato wa urais ulikiuka taratibu na haukutenda haki kwa wagombea.Ndipo akaanza kufafanua kwamba taratibu...
Acha waende tu.Walishasoma nyakati na kugundua siasa yao imefika mwisho ndani ya ccm.Hakuna mpenda mabadiliko hapo.Ni uchu wa madaraka tu.Tuelekee uwanja wa mapambano.Nchi inahamia jangwani leo.Tingatinga linaanza kutifua
Akili yako ndogo hapo ndiyo imemaliza uwezo wake wa kufikiri.Ulishauriana na akili yako mpaka mwisho ukaona ukitupia huu ujinga utakuwa umeandika kitu cha msingi sana humu JF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.