Recent content by LIKE

  1. LIKE

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona tajiri ameanguka kwa mapepo kanisani

    Tajiri haanguki Kwa 5000 na kilo moja ya nyama
  2. LIKE

    JamiiForums Tanzania Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!

    Shehe Yahaya hukujua swali lako Kwa jiwe lingekuletea kasheshe na mbanga za kufa mtu...iweje ujue kuhusu 2030.!?
  3. LIKE

    JamiiForums Tanzania Zitto Mshauri OMO kuwa Pragmatist,Acheni Ujinga Pelekeni Majina ya SUK, Kususa Hakusaidii KITU

    No vision no mission Kalee wajukuu
  4. LIKE

    JamiiForums Tanzania Zitto Mshauri OMO kuwa Pragmatist,Acheni Ujinga Pelekeni Majina ya SUK, Kususa Hakusaidii KITU

    No vision no mission Kalee wajukuu
  5. LIKE

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Msalimie donadi trump
  6. LIKE

    JamiiForums Tanzania Rostam Maelezo yake yamenyooka na yanaeleweka. Huenda Mtangazaji ndiye ameshindwa kumhoji

    unajijua kiundani na kujitambua Kwa kina na kiuhalisia ya kwamba mwenyewe ulivyo huna tofauti na Tido anayetetea kitumbua chake. Kaniki haisafishiki,chukua chako sepa...
  7. LIKE

    JamiiForums Tanzania Britanicca: Alhamisi 28/08/2025 nitaleta Uzi ambao sidhani kama Taifa litabaki moja

    Huna maajabu,utakayosema yanaeleweka...yanafahamika....yanatambulika Itoshe kusema ww ni sehemu ya tatizo...mfano wa polepole na gwajiboy Maslahi yako binafsi yamekatwa.!
  8. LIKE

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Polisi wenyewe wanalijua hili tukio vizuri mbele ya Mungu wanalijua vizuri

    "Sheria nyingi hazipingani na mpango wa Mwenyezi Mungu " ''Hakuna sheria unasema watu watekwe'' ''kila MTU atavuna alichopanda" " wafuasi wa Gwajima Wana haki ya kuabudu" Ibara ya 19
  9. LIKE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Toka mwaka uanze umeona gari la taka mtaani kwako mara ngapi? Wanasiasa na Mazingira ni kama kisogo na kisigino, viko mbalimbali!

    Pamoja na uhovyo wa bashite na mjomba wake...kwenye suala la usafi angalao walijitahidi. Gari za taka hakuna ,na hayupo anayejua nn kifanyoke,japo sote tunajua nini kilikuwa kikifanyika mpaka miji yetu ikawa safi
  10. LIKE

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Wakristo kuishabikia Israeli inapowapa vipondo majirani zake?

    Ni sawa waislam kuishabikia Iran inapowapa silaha Hezbollah,Hamas au wa Houth.!? ama Ayatollah anapoongoza Kwa kusema... ~death to Israel ~death to America ~death to infidel.!?
  11. LIKE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakufa kifo cha Mende - Nilijua tu

    Hujui chochote kile....na huna lolote CDM ipo na itadumu.
  12. LIKE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

    Nenda mwana kwenda
  13. LIKE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata Lishangazi la Kireno nimekuja kwao Portugal wamechoka kama bongo tu

    Jinsi unavyompimia naye anakupimia...na anajua unayo tamaa ya mali Hapo ni mafichoni
  14. LIKE

    JamiiForums Tanzania Je, alichokifanya Ismail Hanniyeh kufurahia mauaji ya oct 07,2023 ni halali kwa mjibu wa uislamu?

    Clip inaonyesha Haniyeh akisujudu akisema 'Allah Akbar' Je ilikuwa ni halali Kwa Haniyeh kushangilia
Back
Top Bottom