Mkuu, hawa jamaa wakishapiga dili na kuzikunja ten percent basi wanakua wamemaliza kila kitu. Suala la usalama wa chombo wao inakua haiwahusu ilimradi washakunja chao!
Muda mwingine Mashetani ni cc wenyewe, mambo ya ten parcent yanatuumiza sana! Watu wanapiga dili hadi kwenye ndege ya rais sembuse Chopa? Wananunua mascrepa kwa bei ya Chopa mpya unategemea nn! Juzi tu tumepigwa changa la macho kwenye meli ya Mv Bagamoyo. Bongo kila kitu usanii tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.