Ahadi ya Meli mpya kwa wana Kagera

Ahadi ya Meli mpya kwa wana Kagera

Sidhani kama watu wa Bukoba ni wajinga kiası cha kuchagua viongozi kwa nıa ya kutimiza maslai ya familia ya Mtei.Chadema sio tena chama cha sıasa.Nimeamini baada ya kuona akina Mtei wanakiuza.Ni unafiki na hao watu ni hatarı kwa usalama kuliko hata CCM.
 
Kumbuka kikwete aliahidi meli mpya yenye uwezo wa kuimili kashkash za lake victoria,meli inayozidi uwezo mv victoria,lkn mpaka leo imekuwa aibu kwa jk,nadhani mwenzangu umekulia lumumba na wewe ni wale wale wenye ahadi zile zile
Aibu siyo kwa Jk bali kwa Nshomile ambao mpaka kesho na uNshomile wao bado wanaisubiri meli.
 
Ahadi yoyote inayotolewa na CCM sio kigezo cha eti Watz kuchagua mgombea wake. Ni kweli nitawashangaa wana Kagera kwa kuchagua CCM. Mungu huwa wakati mwingine hasemi kwa sauti kama sisi binadamu. Tukio la juzi lilikuwa ni Mungu anawabeep wana Kagera kuwa wakumbuke utapeli wa meli mpya walioahidiwa na CCM katika ilani ya uchaguzi uliopita na kwamba sasa hivi wasikubali kudanganywa tena!! Ni kama Mungu alikuwa anauwauliza kuwa, " Ile meli mliyoahidiwa iko wapi na muda umeshaisha???"
 
Nshomile wanaikumbuka hiyo ahadi vyema na nina hakika kutokana na tukio la juzi watafanya kweli,maisha ya ahadi hewa kama vile viongozi wanapiga ramli haikubaliki hata kidogo,na hii inatokana na chama kutokuwa na sera zinazoakisi matatizo ya watanzania
 
Kama wana Kagera mtaichagua CCM kwa mara nyingine tena ilihali ahadi za hicho chama mfu hazijatekelezwa mtakuwa mmepewa "Shuntama" na CCM.Muleba,Bukoba Vijijini na Mjini,Karagwe,Ngara,Karagwe,Kyelwa MABADILIKO NI LAZIMA!
 
Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015
AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...

Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
Kulinda haki za walemavu - Makete
Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - KibahaOrodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
 
Sidhani kama watu wa Bukoba ni wajinga kiası cha kuchagua viongozi kwa nıa ya kutimiza maslai ya familia ya Mtei.Chadema sio tena chama cha sıasa.Nimeamini baada ya kuona akina Mtei wanakiuza.Ni unafiki na hao watu ni hatarı kwa usalama kuliko hata CCM.
JK ashindwe kutimiza ahadi, lawama wabebeshwe chadema?
 
CCM IKITOA AHADI YAKE BASI ITABAKI TU KUWA AHADI MIAKA YOTE NA HAYATATEKELEZWA. Tuna mifano mingi sana watanzania. Mchague LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA NA VIONGOZI WOTE WA UKAWA.Tunataka mabadiliko.
 
Sidhani kama watu wa Bukoba ni wajinga kiası cha kuchagua viongozi kwa nıa ya kutimiza maslai ya familia ya Mtei.Chadema sio tena chama cha sıasa.Nimeamini baada ya kuona akina Mtei wanakiuza.Ni unafiki na hao watu ni hatarı kwa usalama kuliko hata CCM.

mkuu hata mimi chagadema siwapendi lakini hili swala la meli imekuwa tatizo rais wetu kipenzi alituhaidi meli ili angalau tusahau janga la 95. juzi mv Victoria Kabla haijasitisha safari zake tuliona matatizo na taharuki kwa kushindwa kuhimili mikimiki ziwani... juzi tena ilikuwa balaa tena kwa meli ndogo iliyochoka mv Serengeti inatataka kuzama tena ikikaribia kufika hapakuwepo hata vikosi vya hookah hata maboya hakuna... tufanye nn sasa hizi asira za wanakagera tutazipokea vipi wakati wa kampeini....
 
Viongozi wenyewe hawapandagi meli make wanajua wazi kuwa ni mbovu
 
Back
Top Bottom