Kwani kuna uchaguziii??Uchaguzi ulifanyika siku nyingi,na leo kamatti ya maadili inawachagulia wabunge na madiwani,,Wewe kama unajihesabu ni mpiga kura unajidanganya,bora hiyo siku uifaye kuwa sikuvya mapumziko Utanishukuru badae.
Nakubaliana na wewe,ni kweli NRE ililenga CHADEMA wapige mafekeche,,Ila mpango huu waasisi wake namanisha uongozi wa Kamanda Mbowe uliazisha Slogan hii wakilenga kuwatega watala wajae kwenye 18 waitwe ili wakubaliane,bahati haikuwa kwao mana wajumbe walikuwa washaijua tabia ya Ex Chairman wao na...
Watu wanahoji ya tz baraya visiwani hayahusu,hata hivo mwinyi yupo kwenye utaratibu wa chama ea ile miaka 10,ila rais shs alikuwa anamalizia miaka 10 ya hayati magufuli kwa mjibu wa katiba yetu,kimsingi rais yatu mpendwa sana angepitishwa kwenye chujio,yani kale kautaratibu kangefuatwa tu...
walimbagaza wapi,Kosa la lussu ni lii au kule kusema atafanya mabadiliko ya sheria ili ubunge viti maalumu na udiwani maalum viwe na ukomo???au kusa lake kutowateua akina mwalimu kuwa manaibu wa katibu mkuu ndo kosa la lissu,hebu dadavua tukuelewe pengine me uelewa wangu uko chini
We ndo zezeta no 1,Kwani waziri wa katiba na sheria anatoka chama han? au utueleze serikali imeundwa na chama gani,hao mabosi wa tume ya taifa ya uchaguzi wanawajibika kwa nani??,na wanateuliwa na nani??,tunaomba majibu ya hayo maswali..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.