Kuna rafiki yangu kanipigia simu kwamba ameitwa kwenye Interview ya hiyo hiyo nafasi wiki ijayo katikati. Naogopa kumwambia juu ya hii taarifa. Wacha aende tu akanoe utaalamu wake wa kujielezea kwenye interview japo kazi tayari ina mwenyewe :):):)
Sijawahi kufanya hayo yote mpaka alipozaliwa.
Na bado Nisipokuwepo nyumbani wote watajua sipo na sipo kwa muda gani. Nitatajwa mie weeeee mpaka nitakaporudi nyumbani.
Sio lazima kuanza akiwa tumboni maana bado utakuwa na muda mrefu wa kuwa naye na kujenga huo ''Muunganiko'' baada ya kuzaliwa...
Kama hujiamni vileeee!
Soma tena uelewe mtoa mada anasemaje. Hapana mahali amesema Lowasa ndio dawa. By the way ameweka wazi kuwa ni maoni yake so wewe kutofautiana naye haimaanishi hajakua kiakili.....
Shida sio koloni la nani, barabara nyingi nzuri kenya zimejengwa ndani ya miaka 10 iliyopita. Hizo flyovers almost zimekamilika mwaka uliopita. Tuache utetezi usio ma mashiko.
Ukweli ni kwamba shida ya foleni kwa Tanzania inasababishwa na viungio (junctions). Flyovers zingepunguza tatizo kwa...
Uko sahihi kabisa.
Dizaini hii ya madem ni shiiiida. Ninaye mmoja (si demu wangu, ni staff mwenzetu) mahali pangu pa kazi yaani ni pasua kichwa.
Kila anasema huyu mdada akija kuolewa mume wake ana kibarua.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.