Recent content by lifeofmshaba

  1. lifeofmshaba

    Tetesi: Tip From Deep Inside: Uchunguzi wa Kesi 9 za Ufisadi Mkubwa Umekamilika.Soon Vigogo Kizimbani

    Hao umeficha nini? je kuna rafu kwenye hizi kesi? kwa nini unaionya mahamaka kutodhalilisha?
  2. lifeofmshaba

    DAWASCO waanzisha huduma ya kuunganishiwa Maji kwa Mkopo kwa wenye uwezo Mdogo

    Shida ni kwamba maeneo yenu ni yale yale ongenzeni customer base
  3. lifeofmshaba

    DAWASCO waanzisha huduma ya kuunganishiwa Maji kwa Mkopo kwa wenye uwezo Mdogo

    Wamefika fanya mchakato mimi nimeshapata huduma, nendo serikali ya mtaa au piga hiyo simu yaO
  4. lifeofmshaba

    DAWASCO waanzisha huduma ya kuunganishiwa Maji kwa Mkopo kwa wenye uwezo Mdogo

    Ukonga na maeneo yake mtafika lini ? Ukonga na maeneo yake mtakuja lini?
  5. lifeofmshaba

    Natafuta soko la maziwa lita 90 kwa Siku

    Salamu wakuu Kama kichwa cha habari hapo, natafuta soko la maziwa ya ng'ombe kuna lita 90 za maziwa kila Siku yanaweza patikana. Kwa mwenye mahitaji au anayejua soko nitashukuru sana Tuwasiliane email bunyinyiga2014@gmail.com Asante sana
  6. lifeofmshaba

    VIDEO: Rais Magufuli awajibu Watetezi wa Haki za Binadamu. Asema wanaweza kuwa wanatetea uovu

    Mkuu The Boss umetokea kutomkubali kabisa raisi wa sasa, nitaendelea kukusoma labda Siku moja nitapata sababu iliyowazi na ya msingi
  7. lifeofmshaba

    Tathmini ya gharama ya John Pombe Magufuli Safari Kigali Kwenda na Kurudi

    Kwa hiyo magari ya Ikulu yanatumia lita moja kwa 1km? Upuuzi kama huu ndio unaondoa heshima za harakati kupitia mitandao, tunaonekana kama waropokaji kwa sababu ya wajinga wachache, yaani kwenda Rwanda ni 2bn? Sasa Kama ni hivyo JK kwa Safari Zake kwa uchumi wetu tungezimudu kweli ? Baadhi ya...
  8. lifeofmshaba

    Seif Tumekusikia; Sasa jiuzulu na iondoe CUF kwenye SUK!

    Kwenye rangirangi niko na wewe, hawa watu tuhachane nao, wako so demanding, na tena tukihachana nao urafiki wetu uwe wa East Africa tu. Hawa ni wababishaji, wapige kura ya kujitenga na sio kutupigia kelele za Muungano wa Mkataba, ina maana wao wakitaka kitu sisi tufuate tu!!!!! kama wao...
  9. lifeofmshaba

    Seif Tumekusikia; Sasa jiuzulu na iondoe CUF kwenye SUK!

    Kwa Katiba ya sasa SEIF ana wajibishwa na nani? Bwana Shein anaweza kumfukuza kazi SEIF? makubaliano ya UMOJA ni Yapi? walikubaliana je? kwamba SEIF akifukuzwa (japo sijui na nani?) utaratibu wa kuchangua mbadala wake ni upi?
Back
Top Bottom