Recent content by LiFe 2-point-0

  1. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

    Wizi huku mnapigwa uwanjani kila mtu dunia nzima anaona.!? Kwahiyo zile chenga wizi? Yale magoli wizi? 😂😂😂
  2. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa rafiki yoyote wa dhati

    NDio mana nasema hawa watu nj scammers. Halaf wanafikiri watu hatunaga akili kumbe tushawaelewa tunawachora tu
  3. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa rafiki yoyote wa dhati

    Ahahah ahaahahahah..kumbe na wewe yashakukuta. Ndio maana watu hawana time na hiz habari. Wengi hawa ndio wale wale tu
  4. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa rafiki yoyote wa dhati

    NDio kwaaanza wanakaribia kuacha kunyonyesha hapa nawapandisha tena labda mwezi wa 11 hiv ndio watakua possibly wamebeba mimba
  5. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa rafiki yoyote wa dhati

    Hawa watu wa humu wanaombaga msaada ila wana conditions zao, yan kuna vigezo vyao wanakupa unatakiwa kuvi meet ndio uwasaidie. No wonder no one bothers. NB Sijaandika kwa ubaya ila naamini kuna watakao kuwa wamekutana na ishu kama hiz. Mimi nishakutana nazo kadhaa. Na niwe mkweli wala sionagi...
  6. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Mkuu ni ya kweli haya au utani tu??
  7. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Ahahahaha..bora mimi najisemeaga mafuga nguruwe 😂😂. Humu watu kujikuta matawi daah!!
  8. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Ahahahah... humu ndani kiukweli ukikaa kiboya hakyanani wanapita na wewe.
  9. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa yanki miaka 10+ na 20s nilidhania siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidiii, sikuwa sahihi, siri ya mafanikio ni connection na favour

    kwamba wewe unaona hapo ndio wanapata pesa kiulaini mkuu? Aah u better watch your back man, utapasuliwa sio muda Utaanzisha kitega uchumi bila jitihada? Utaendeleza kitegauchumi bila kufanya kazi kwa bidii? Nenda arusha uliza habari za yale mahotel ya bwana yule marehem aliitwaga mrema sijui...
  10. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa yanki miaka 10+ na 20s nilidhania siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidiii, sikuwa sahihi, siri ya mafanikio ni connection na favour

    NI kweli kabisa mzee. Competence ndio inawapa ujasiri watu kukutambulisha na kuku connect kwa wengine. Japo yapo mambo mengine ambayo hayajali sana mtu alivyo, nafikiri ndio hizo favours anazozisema jamaa. Imagine miezi kama miwili imepita niko zangu shambani hukoo naendelea na ishu zangu za...
  11. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 bila kusikiliza muziki.

    Tunasemaga sisi kanisani hili ni "sebene la Yesu" 😂😂😂😂😂. Dahh ila binadamu akiamua kuhalalisha anachokipanda aaah hakosi sababu. Kimsingi huwez kwepa msingi, sema tu labda usiupe attention. Kuna nyimbo kibao za dunia zinaujumbe wenye manufaa sana tu
  12. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

    Unyama sana ila kwa sisi tulio single. Wewe unaoa, hutakiwi kula wali mabandani. Unanua mchele na maharage unapeleka nyumbani
  13. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

    Hiv utamfundisha mtu savings kweli kwa uzi tu???????
  14. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

    Huku niliko huo ni wali maharage au wali njegere unakula unashiba kabisaa na maji ya kunywa unapewa bure ya bomba
  15. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

    Wala husemi uongo. Hela hiyo ya kunifanya nisiteseke ninayo dakika yoyote ile nikitaka ila sasa sina akiba ndio maana naomba unikope buku jamaa angu, nikale
Back
Top Bottom