Salai wangai wai waaa!! Nikadhani umeponea kupata ngoma kumbe ni mimba? Ninyi kumbe ndo mnalazimisha dada zetu watoe mimba au kutupa vichanga kwasababu ya uoga wa kiboya wa kuogopa majukumu, wewe ni wakuchapwa viboko heavy visivyopungua 20 tena vyenye pilipili.
Kwahiyo kuhamia ushuani ushaona wanaokaa uswazi sio watu, kila mtu anaishi lifestyle yake kutokana na kipato chake, hakuna mtu ana penda maisha duni. Wewe ngoja life likucharaze viboko mbona utaitafuta hiyo miguu ya kuku unayo idharau saa hii.
Matako yashalia mbwataa!! Hongera mkuu.
Vilio vya kinafiki, kuna watu huwa wanapiga kileo kwanza ili waangue vilio heavy msibani hatimae ndo wanaropoka maneno ya hovyo, Shubamit.!!! Hao ni wakuwasha viboko tuone huo uchungu.
Naona umeskip ule upande ulipo weka vi U-FRESH vya watoto vya mia mia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila kuogongea sio dhambi, sikuchapi viboko usiogope mkuu
Wanaume mlio kuwepo eneo hilo mlikuwa wazembe sana, mlishindwaje kuwatembezea viboko yaani mwanamke alewe alafu atukane/afanye vurugu mbele zenu nyinyi vidume hiyo ni dharau kubwa sana.
Katika dini inasemwa "asiye fanya kazi na asile"
Wahenga nao wakasema "kama unataka mali utazipata shambani" pia "mgaagaa na upwa hali wali mkavu"
Mimi ninasema "kaa kizembe life likucharaze viboko utie akili"
Ni wazi kabisa Wewe unatafuta viboko kwa nguvu, wewe hujawahi ona situation mtu anapona au okoka kifo ambapo katika hali ya kawaida huyo mtu asinge pona, hadi watu wanashangaa huyu mtu kaponaje?
Kuliko kununua vifurushi vya Tigo ni bora ukanunue kifurushi cha unga ukale ugali na watoto, siku ntaenda kuwashushia mvua ya viboko wale jamaa hawata amini
Kuna watu wanastahili viboko tena vingi tuu, mtaani unaacha warembo unaowaona physically unaenda huko kwenye midosho ya Badoo alafu unategemea upate mume/mke mwema.
Tatizo ni wewe mwenyewe umeshajiwekea psychology kwamba ukipigiwa simu katika hizo situation ni lazma uombwe hela, ikitokea huna ndo kama hivi unaanza kujihami. Wewe kuwa free tuu watu kama nyie ni viboko vichache tuu vinahitajika kurekebisha mindset zenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.