Recent content by LICHILA

  1. L

    JamiiForums Tanzania Afisa mipango miji au afisa mazingira

    Kwanini mipango miji mkuu?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Afisa mipango miji au afisa mazingira

    Hello naomba tudiscass kidogo kuhusu izi position mbili Afisa mipango miji (town planner) na afisa mazingira (environmental officer) ikitokea umepata nafasi uchague kazi moja kati ya izo, Utachagua ipi na kwa nini utaichagua iyoo. KARIBUNI
  3. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NACTE

    Nilikuwa natafuta ili swali
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nini tofati kati ya Technician Certificate na Basic Technician Certificate in primary education?

    Alafu kuna hii mfano Certificate in social work. Aijasema ni basic technician au technician yenyew. Hii tunaiweka kweny level gani NTA LEVEL 4/5 na kwanini zitambulike tofaut na izo zingine.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ipi iko vizur kwa in-service kujiendeleza

    Kitu Gani Sasa ndio mana tumeuliza jamvi
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ipi iko vizur kwa in-service kujiendeleza

    Wana JF kwema? Straight to the point, najua JF is the home of great thinkers na inajumuisha watu mbalimbali wenye uelewa katika mambo mengi hivo Uzi wangu upo mahali sahihi kabisa, naomba ushauri kwa mwenye kujua ni kazi gani kati ya UHASIBU, AFISA BIASHARA, AFISA MANUNUZI, AFISA RASLIMALI...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya kazi za Afisa Mipango na Mchumi kwenye taasisi au halmashauri?

    Afisa mipango na wachumi ni watu wawili tofauti ingawa baadhi ya taasisi wanakaa kweny ofisi moja kama halmashaur, ila ata halmashaur afisa mipango ni mipango tu,mchumi ni mchumi na mtakwimu ni vilevile but wanakaa kweny ofisi moja kwa maana baadhi ya majukumu wanaingiliana. Lakini hao ni watu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Project planning and management

    Basi ni kozi nzuri tu
  9. L

    JamiiForums Tanzania Project planning and management

    Naona kuna tofauti kati ya kuwa mchumi na kuwa afisa mipango ingawa wote kwa halmashaur wapo katika ofisi moja, vigezo hivyo hapo vya kuwa afisa mipango, asilimia kubwa ni karibu kozi zote zinazotolewa chuo cha mipango irdp dodoma
  10. L

    JamiiForums Tanzania Project planning and management

    1.0.3 SIFA ZA MWOMBAJI Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Mipango kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (Major) katika mojawapo ya fani zifuatazo; Mipango ya Maendeleo ya Mikoa, Mipango ya Menejimenti ya Mazingira, Mipango ya Maendeleo ya Idadi ya Watu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Project planning and management

    Kwaiyo unachosema wapo maafisa mipango halmashaur waliosoma project planning and management??? Na wapo idara ya mipango?
Back
Top Bottom